Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi

Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k

Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]
We mpelekee moto peleka moto
 
La saba mshamaliza pepa ee? Iko hivi bwaa mdogo wewe ndiye una hisia na huyo mtoto mwenzako afuu ilitakiwa sasa uwe unacheza mpira, unaimba kwaya ila wewe ushaanza kuwaza papucee za ndugu zako.
 
Ki
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Kijana sio kwamba nakudharau niwie sana radhi lkn inaonekana utakuwa ni mtoto wa form two B nakushauri kazana na shule achana na utoto.
 
Naomba forum ya JF over 20 something. Nyuzi hizi skuizi very common
 
Daaaaaa....mm kuna binamu yangu juzi karibia hii mara tatu tunapanga tunjunjane..na mtumia vipesa anachukua tuuuuu mwishon ananimbia nilikuwa nakupima uchafu wako we ata mama ako unaweza mla ujiheshimu kabisa tena ata bibi nimemwambia tabia zako chafu.....nimfanye nn huyu binamu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili

Sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia

Kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako

Hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile

All the best kijana.
Sawa kabisa mkuu
 
Mfuate ukamgonge
Daaaaaa....mm kuna binamu yangu juzi karibia hii mara tatu tunapanga tunjunjane..na mtumia vipesa anachukua tuuuuu mwishon ananimbia nilikuwa nakupima uchafu wako we ata mama ako unaweza mla ujiheshimu kabisa tena ata bibi nimemwambia tabia zako chafu.....nimfanye nn huyu binamu.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Huo mchezo unaotaka kuanza hapo dukani na njaa zako za mbunye utalifilisi duka hilo hutaamini🤣 yani mama akija kustuka lazma akuvue udindo ukabebe zege mtaani!

Biashara na mapenzi ni kama cheche za battery na lorry la petroli😅 lilioanguka!
 
Kama hizi ndio akili za muuza duka, kuna kila dalili za kugeuka machinga...
 
Gegeda tu binamu kinyama cha hamu, mambo yanabaki ndani ya familia kwani shida nini bana
 
Back
Top Bottom