Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi

Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k

Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]

Sasa siku zinaenda zinaenda siku moja nikamzingua alimtuma mdogo upande wa kaka yake pesa haikutosha nikamrudisha baada ya dakika kama 2 yule mtoto alirudi na pesa imekamilika nikampa sukari aliokua akiitaka akilini nikaamini yule binamu atanichukia na hata taka kuniona tena [emoji57]

Zikapita siku 2 hajaja tena pale Dukan mtoto wa kiume nikaanza kuwaza eeeh nishaharibu u dugu [emoji17] ila nikawaza zikipita siku 3 hajaja basi na mimi napotezea[emoji2740]

Siku ya 3 akaja kapendeza kinoma kama kawaida anataka vitafunwa ila stori nilizowahi kuzipata turudi nyuma kidogo kulikua na mtoto wa kike mwingine ananikubali sanaa alikua nae anamazoea ya kuja dukan pale sasa akimkuta binamu yule alikua anammindi sana alifikili ni mpenz wangu kumbe ni cousin tu sasa akamwita nje akamuwashia moto cousin wangu sikujua waligombana nini lakin yule cousin alikuja kunambia yule dada ninar mkuta hapa ni mtu wako nikamjibu hapana kwa kuficha ukweli

Sasa sikutaka kumuuuliza sana na ilionekana yeye cousin kakasirika sana ukaribu wangu na wale watu lakin siku wale wadada wakaondoka

Na mimi hom nikabaki peke ang maza kaenda harusini Dsm cousin akaniletea chai asubuhi kazin bila kuomba na chakula cha mchana kesho piaa asubuhi akaniuliza chai umekunywa?[emoji3526] Mmmmmh hiii care ilinivuruga kabisaaaaaaaaaaa

Sasa turud kule baada ya kuacha kukasirika siku ya tatu kaja akaja tena siku ya 4 na simu yake anashindwa ku downliad applications kupitia unknown source APK FILE sasa akaniita nitoke nje ya duka nilipotoka nikawa naweka app kwa simu yake huku akiwa close sana [emoji3526][emoji3526] mtoto ananukia marashi mazuri sana siku moja nilimwambia unependeza akajibu Ahsante.

Sasa mimi najiuliza huyu cousin ni pisi kali sana wakulukungwa nyie mmepata picha gani hapaa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji125] niko dilema
Mkuu uko chuo cha biblia au madrasa au chuo kikuu, ili nijue naanzia wapi kutoa ushauri wangu.
 
Kuwa makini utafilisi duka, rejea wimbo kazi ya dukani
 
Kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili

Sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia

Kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako

Hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile

All the best kijana.
Dhambi ulisikia wap acha kupotosha jamii,binamu ruksa kuoana.
 
Mi mwenyewe nawaza apa naona ka.a binamu upande wa mama mdogo ndio jau ila hawa upande wa shangazi dadenya naona kama mali yangu vileeee[emoji3061][emoji3061][emoji3061][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tukiwa watoto hao ndio tulikuwa tunajifunzia. na hata ukienda kwa mjomba au shangazi, wanakuacha ucheze nao, na hata wakimuita yeye aje akusalimie wanasema njoo msalimie mumeo.
 
Yakobo alimuoa leah na Raheli. Kula mashine uifanyie mazoezi hiyo..

Wanao kushauri kuacha wanakuonea wivu wanataka wao.piga hiyo kitu km inalipa ukichelewa wanakula watu.

Maku ya ndg haina limbwata unajipigia tu.hata akijaa shangazi atalea.utapandaaa!!! Ukienda ukirudi lkn kumega ni km kawa usilembe kula mzigo huo km inasimama.

Ukienda kwa mwajuma ndala ndefu utarogwa tu wewe. Piga mzigo ulindwe na limbwata.......kila ukipigwa kitu yeye habari anazo...
 
Back
Top Bottom