Dr Count Capone
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,878
- 3,263
Nisikilize mimi kijana, Ondoka hapo Dilemma haraka na umtafune mwenzako.
Pasi kama ya Cousin kaka hatuombagi ushauri, huwa tunanyoosha halafu tunaleta mrejesho.
Jua huyo ni mkeo halali yako na yeye anajua fika wewe ni halali yake kwahiyo acha ujinga na umfanye mwenzio haraka iwezekanavyo.
Period!