Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Nahisi binamu yangu ananitaka kimapenzi

Daah yawezekana ukawa utoto piaa au nyege tu nizidishe maombi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Asante kwa kujijibua ni kweli huo ni utoto na kukosa kutafakari Maisha na kusudi la Maisha kwa ujumla

Maisha is more than sex na tamaa za miili yetu,mkiwa kama vijana wadogo ambaoo bado hata Maisha hamjayatengeneza jaribuni kudhibiti tamaa zenu na kujitahidi kuishi kwa akili ya kufikiria wakati wako ujao Zaidi kuliko kujikita katika kufikiria Faiza za leo tu

kila la kheri kijana
 
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi

Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k

Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]

Sasa siku zinaenda zinaenda siku moja nikamzingua alimtuma mdogo upande wa kaka yake pesa haikutosha nikamrudisha baada ya dakika kama 2 yule mtoto alirudi na pesa imekamilika nikampa sukari aliokua akiitaka akilini nikaamini yule binamu atanichukia na hata taka kuniona tena [emoji57]

Zikapita siku 2 hajaja tena pale Dukan mtoto wa kiume nikaanza kuwaza eeeh nishaharibu u dugu [emoji17] ila nikawaza zikipita siku 3 hajaja basi na mimi napotezea[emoji2740]

Siku ya 3 akaja kapendeza kinoma kama kawaida anataka vitafunwa ila stori nilizowahi kuzipata turudi nyuma kidogo kulikua na mtoto wa kike mwingine ananikubali sanaa alikua nae anamazoea ya kuja dukan pale sasa akimkuta binamu yule alikua anammindi sana alifikili ni mpenz wangu kumbe ni cousin tu sasa akamwita nje akamuwashia moto cousin wangu sikujua waligombana nini lakin yule cousin alikuja kunambia yule dada ninar mkuta hapa ni mtu wako nikamjibu hapana kwa kuficha ukweli

Sasa sikutaka kumuuuliza sana na ilionekana yeye cousin kakasirika sana ukaribu wangu na wale watu lakin siku wale wadada wakaondoka

Na mimi hom nikabaki peke ang maza kaenda harusini Dsm cousin akaniletea chai asubuhi kazin bila kuomba na chakula cha mchana kesho piaa asubuhi akaniuliza chai umekunywa?[emoji3526] Mmmmmh hiii care ilinivuruga kabisaaaaaaaaaaa

Sasa turud kule baada ya kuacha kukasirika siku ya tatu kaja akaja tena siku ya 4 na simu yake anashindwa ku downliad applications kupitia unknown source APK FILE sasa akaniita nitoke nje ya duka nilipotoka nikawa naweka app kwa simu yake huku akiwa close sana [emoji3526][emoji3526] mtoto ananukia marashi mazuri sana siku moja nilimwambia unependeza akajibu Ahsante.

Sasa mimi najiuliza huyu cousin ni pisi kali sana wakulukungwa nyie mmepata picha gani hapaa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji125] niko dilema
Natabiri utakuja filisi ilo duka kwa kuendekeza pisi kali kijana..

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Kuachiwa duka wiki tu ushaanza na kuonga duuu,,,,, shikamoo wahindi ....
 
kwa story hyo inaonyesha ww ndio unamtaka kimapenzi
Hapana unajua uwanaume una mambo mengi hafau ukiwa kama lijali lazima ukiona pisi nzuri iko karibu ufikilie kitu hii pisi mimi hua siendi kwao kabisaaaaaaaaaaaaaaaa lakin yeye hachoki kuja na cha kushangaza akimkuta maza anabadili maada sasa anaogopa nini kusema kilichomleta kama hana lengo
 
asante kwa kujijibua ni kweli huo ni utoto na kukosa kutafakari Maisha na kusudi la Maisha kwa ujumla

Maisha is more than sex na tamaa za miili yetu,mkiwa kama vijana wadogo ambaoo bado hata Maisha hamjayatengeneza jaribuni kudhibiti tamaa zenu na kujitahidi kuishi kwa akili ya kufikiria wakati wako ujao Zaidi kuliko kujikita katika kufikiria Faiza za leo tu

kila la kheri kijana
Asante sana namimi nilitambua kuleta maada kama hii hapa nitapata matusi ya kila aina lakin lengo nijue na nilikua tayari kukosolewa kwaio nimejifunza
 
Najua unataka tuhalalishe ili siku za mwisho ujitete tulikuunga mkono wanazooni wa jf
[emoji1787][emoji1787]hapana kaka haya mambo yakikukuta ndio utajua hujui.....mi sijui na shida gani na wanawake
 
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi

Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio kubwa sana ila lina compose mahitaji yote muhimu kuanzia vitafunwa n.k

Sasa wakati nikiwa pale dukan binamu huyu lazima aje kununua Vitafunwa pale mara nyingi ananiomba nimuongezee nyongeza addition au anatabia mfano ananunua vitu vya elfu 1 anaongezea moja anasema nimlipie mimi kila siku ananambia hivo ananunua anajipngezea ananiangalia kwa tabasamu anasema moja nimejiongeza utanilipia huko[emoji3526]

Sasa siku zinaenda zinaenda siku moja nikamzingua alimtuma mdogo upande wa kaka yake pesa haikutosha nikamrudisha baada ya dakika kama 2 yule mtoto alirudi na pesa imekamilika nikampa sukari aliokua akiitaka akilini nikaamini yule binamu atanichukia na hata taka kuniona tena [emoji57]

Zikapita siku 2 hajaja tena pale Dukan mtoto wa kiume nikaanza kuwaza eeeh nishaharibu u dugu [emoji17] ila nikawaza zikipita siku 3 hajaja basi na mimi napotezea[emoji2740]

Siku ya 3 akaja kapendeza kinoma kama kawaida anataka vitafunwa ila stori nilizowahi kuzipata turudi nyuma kidogo kulikua na mtoto wa kike mwingine ananikubali sanaa alikua nae anamazoea ya kuja dukan pale sasa akimkuta binamu yule alikua anammindi sana alifikili ni mpenz wangu kumbe ni cousin tu sasa akamwita nje akamuwashia moto cousin wangu sikujua waligombana nini lakin yule cousin alikuja kunambia yule dada ninar mkuta hapa ni mtu wako nikamjibu hapana kwa kuficha ukweli

Sasa sikutaka kumuuuliza sana na ilionekana yeye cousin kakasirika sana ukaribu wangu na wale watu lakin siku wale wadada wakaondoka

Na mimi hom nikabaki peke ang maza kaenda harusini Dsm cousin akaniletea chai asubuhi kazin bila kuomba na chakula cha mchana kesho piaa asubuhi akaniuliza chai umekunywa?[emoji3526] Mmmmmh hiii care ilinivuruga kabisaaaaaaaaaaa

Sasa turud kule baada ya kuacha kukasirika siku ya tatu kaja akaja tena siku ya 4 na simu yake anashindwa ku downliad applications kupitia unknown source APK FILE sasa akaniita nitoke nje ya duka nilipotoka nikawa naweka app kwa simu yake huku akiwa close sana [emoji3526][emoji3526] mtoto ananukia marashi mazuri sana siku moja nilimwambia unependeza akajibu Ahsante.

Sasa mimi najiuliza huyu cousin ni pisi kali sana wakulukungwa nyie mmepata picha gani hapaa [emoji17][emoji17][emoji17][emoji125] niko dilema
Ondoka huko dilena Rudi dukani

Penzi kitovu Cha uzembe

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom