Emmanuel180
JF-Expert Member
- Dec 17, 2019
- 342
- 626
- Thread starter
- #61
Nyie acheni tu najua haya yanawapata wengi tu hahahhahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125] mi nimejitia kama mfano
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahahaha daaaah!kwa story hyo inaonyesha ww ndio unamtaka kimapenzi
Teeenaaa[emoji17][emoji3064][emoji29][emoji22][emoji22][emoji3064] sa itakuajeeee mi sahv staki kumuonaWewe ndiye unaemmendea nduguyo.Uandishi wako tu
Mi nimuandishi tu mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji125]Wewe ndiye unaemmendea nduguyo.Uandishi wako tu
Duuuuh mazeee si kamekuja kengine tena sahiiiiii kakali kuliko huyu cousin afu sasa haka ni katoto ka cousin sasaaaaa[emoji3064][emoji3064][emoji3064]Hahahahahahaha daaaah!
Hii furaha uliyonayo ungeing'ang'ania....ukimtia mimba utakuja tena huku.Kichwa cha chini ni kigeugeu sanaDuuuuh mazeee si kamekuja kengine tena sahiiiiii kakali kuliko huyu cousin afu sasa haka ni katoto ka cousin sasaaaaa[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
We dada wewe nisamehe [emoji3064][emoji125]Hii furaha uliyonayo ungeing'ang'ania....ukimtia mimba utakuja tena huku.Kichwa cha chini ni kigeugeu sana
Sure am telling u,hata ukimwi ndo ivoivo...umepata mtu moyo unasita kusex nae bila ndom kichwa cha chini kinagoma kinataka kikaone live kizazi kilivyoumbwa.Ndugu yanguu! Baadae ndo utasikia afu moyo uligoma kabisa yaan.LATE!!!We dada wewe nisamehe [emoji3064][emoji125]
We dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaapSure am telling u,hata ukimwi ndo ivoivo...umepata mtu moyo unasita kusex nae bila ndom kichwa cha chini kinagoma kinataka kikaone live kizazi kilivyoumbwa.Ndugu yanguu! Baadae ndo utasikia afu moyo uligoma kabisa yaan.LATE!!!
Sawa mkuuWe dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaap
Nataka kujufunza zaidiSawa mkuu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125] assessWatanzania wengiwao wanawaza ngono badala kufanya kazi
Hapana hapa kuna pisi nyingi sana lakini zinanitambua kama bonge la bahili[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We dada uje PM uni dm namba yako ya whatsaap mimi kijana damu inachemka nimeandika hapa natambua wazi nitakua criticized so nataka kukuuliza vitu vingi zaidi whatsaaap
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]genye la hatariiiiii mwananguDogo, inaelekea una genye la kufa mtu, and soon unaenda kufilisi duka.
🍻Kwa huu uandishi wako ni Dhahiri kabisa kuwa bado u mchanga sana kiumri na kiakili
Sasa naomba nichukue tu fursa hii kukumbusha(labda umesahau au hujui) kuwa maandiko matakatifu yanakataza kabisa kuwepo kwa uhusiano wa kimapenzi baina ya ndugu lakini pia
Kisheria ni kosa la jinai kutoka kimapenzi na ndugu yako
Hivyo basi acha kufikiria mambo yasiyofaa kumwelekea huyo binamu yako,muoneshe msimamo thabiti muepeuke ili ujiepushie dhambi zisizo za lazima na majuto ya baadae ya kihisia.coz mambo mengi sana tunayoyafanya within the foolish age baade huwa yanatuumiza sana na kutupa maswali mengi ya kwa nini nilifanya vile au niliamua vile
All the best kijana.