Nahisi hii inaweza kuwa sababu kuu ya Elon Musk kuwachukia Democratic!

Nahisi hii inaweza kuwa sababu kuu ya Elon Musk kuwachukia Democratic!

enzo1988

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
1,838
Reaction score
7,346
Pamoja na kulenga biashara zake, pia suala la mwanae lilimuumiza sana na anaamini mitazamo ya kiliberali ya democratic ilichangia kwenye hilo!


This is actually why Elon went against the democrats. He believes they influenced his son to change her gender. This is personal.


View: https://twitter.com/PopFlopHQ/status/1854683440999788545

Elon Musk’s transgender daughter doesn’t see a ‘future’ in the US after Trump’s win​


 
Sasa kumbe bwanyenye Musk alipokuwa akiwashabikia na kuwafadhili Democrats, hakujua madhara yake? Alitaka familia ya nani iharibike?

Kumbe inauma eeeh!

Yeye angekomaa tu na Democrats hao, kama hiyo ndiyo sababu ya msingi.

Mbona Trump yeye japo kidogo aliwe kichwa kwa shaba mara tatu, lakini kila alipokuwa akiinuka anasimamia haki kikatiba ya kumiliki bunduki na kujilinda?
 
Kwahyo na Uganda atelegezewa vikwazo alivyowekewa?
 
Back
Top Bottom