Sasa kumbe bwanyenye Musk alipokuwa akiwashabikia na kuwafadhili Democrats, hakujua madhara yake? Alitaka familia ya nani iharibike?
Kumbe inauma eeeh!
Yeye angekomaa tu na Democrats hao, kama hiyo ndiyo sababu ya msingi.
Mbona Trump yeye japo kidogo aliwe kichwa kwa shaba mara tatu, lakini kila alipokuwa akiinuka anasimamia haki kikatiba ya kumiliki bunduki na kujilinda?