Mwagito84
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 235
- 709
Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh.
Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo jamaa since naanza ujenzi alikuwa hajawahi kuja though mimi kwake nimewahi kwenda kumtembelea, Jamaa ana wife na watoto 3.
Mimi nimeoa ila wife na dogo wako mkoa mwingine ambako wife kaajiriwa huko. Kwakuwa jamaa hapajui nilipohamia ikabidi nimfuate. Akanielekeza alipo ila haikiwa kwake, fresh nikaenda nikampick jamaa ila hakuwa mwenyewe jamaa alikuwa na kabinti flani kama kadent ka form 5 au 6 hivi.
Sikutaka kujishughulisha kwani pia sikutaka kujua. Ila nilihisi kama ni kadem kake. Baada ya kufika home tukawa na story za hapa na pale akanipongeza kwa ujenzi akatalii vyumbani kuona jinsi mafundi walivyofanya yao.
Basi nikaandaa msosi tukapiga ile fresh kabisa. Kwangu sina umeme ndio niko mbioni kuunganishiwa sasa jamaa akaomba nikamuwekee charge nyumba ya jirani, nikafanya hivyo.
Kurudi nakuta wametoka sebuleni wako chumba cha wageni wanaongea. Daaa kama mtu mzima nikaona isiwe tabu nikatoka zangu nikaenda kwa jirani kula story. Walitumia kama masaa 3 wakiwa wamejifungia.
Hii imekaeje waungwana. Is this fair au ndio kukua kwa science na technolojia