Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

Hata hilo suala la charge ilikuwa ni namna tu ya kukutoa maskani watu wapate faragha.

Actually hizi mbinu hutumika kuwatoa watoto siyo mwenye nyumba yake.

Na ukizubaa hiyo nyumba yako itakuwa Guest house ya jamaa.

Jamaa siyo mstaarabu au alikuwa kalewa?
hahaha sa jamaa hakuusoma mchezo haha
 
Wew nazn ulimjarbsh/kumuonyesh room ya wageni ndio maana anaendelea

Hongera kwa Ujenz
 
Back
Top Bottom