Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

Labda kama i am missing a point in your story ila jamaa kakuchukulia poa, nakujaje kugonge mlupo nyumbani kwako?? Hayo ni madharau, afu kama na wewe ulimkaushia na wewe basi ulizingua, maana kuna vitu vya kuvichukulia poa na kuna vitu si vya kuchukulia poa kabisa
 
Mkuu nitakuja j2 kukutembelea, nabeba na charge kabisa
 
Hakuna cha kurelax hapo, its not fair at all! Wasipigane mambo yao huko walikokuwa mpaka wakafanyiane hivyo nyumbani kwa mtu mwingine! Sio sawa kabisa, ukizingatia mtu ndio kwanza anamalizia nyumba yake, ni kweli wanaweza kumwachia mikosi. Wangemwacha aizindue yeye na mkewe na sio wao mtu na kistudent chake!!
 
Nakumbuka wakati naishi zangu gheto Mtoni kwa Azizi Ali, kipindi nakaribia kuchukua jiko, One day kuna rafiki yangu alikuja kunitembelea, jioni nilitoka kidogo kuna mtu nilikwenda kumcheki maeneo ya kwa Kabuma, nikakumbuka kuna kitu nilisahau halafu mchizi yuko gheto.

Ile narudi kufika gheto jamaa yuko ndani na mlango umefungwa gonga sana eboo! Nikaona isiwe tabu nikamsubiria alipomaliza mambo yake na kunifungulia mlango kibinti cha watu kikatoka ndani na kuondoka nikamwambia mshkaji kama urafiki utakufa na ufe......

Nilimuuzia kwa lazima kitanda na godoro lake nikahama kabisa gheto na kuhamia kwengine!

Hela aliyonipa nikaongezea na kununulia vifaa katika gheto jipya!!


Kitanda nilichopanga kukilalia na mke wangu ni haramu kwangu kukilalia mwingine kabla ya mke wangu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
mkuu wacha nikuite kaka yangu nimefurai ulivosema umeamia kwako japo hujaweka umeme umenipa nguvu na mimi miezi miwili ijayo niamie ivo ivo then umeme halafu ndo nioe.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] seriously pre form one hukumtambua
Hadi castle light alikunywa. Tulifika sehemu kinondoni nikamwagizia chipsi kuku mi nikachukua safari kubwa, mhudumu alivyomuuliza we nikuletee kinywaji gani! Akasema castle light.

Baadae nikasikiaga hadi mtaani kwao alishawahi kukamatwa na mume wa mtu wakati yupo darasa la sita huko mtaa wa Sogodo Kino hapo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…