Nahisi jamaa yangu anatoka na mwanafunzi, nimeshangaa sana

Unaweza ukakuta huyo mwanafunzi mwenyewe hashangai, kuna vitoto vina mitego kama ndani ya moyo wako hauna Mungu wa Yusuph lazima utavunja amri ya sita.
 
Elezea basi!!
Enzi hizoooo nasoma form 6 yeye alikua 2nd year walikua wanakaa geto na mwenzie lol jumapili kwenda kanisani nikitoka church naenda geto kwake au outing day nazama geto kwao hapo anakua ashampiga exile mwenzie ujana bana! Hizo likizo sasa!!!
 
Matapeli wa mapenzi, mie mzee bana
Vijana nimewaona wengi ila siwataki, mtu mzima dawa! Kwani hulijui hilo!? [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125][emoji377][emoji377][emoji377]
 
We jamaa miyeyusho kishenzi
 
hapa naona topic ni kujenga and hongera mkuu kwa kujenga ila haiingii akilini utoke uache mgeni kupeleka chaji gafla uje uwakute tayari wapo room ya wagen na umewaacha sebureni idiot

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye ntumba hajitambui

Alipaswa awatimue
 
Kwanza wewe ni "enabler", utaruhusu vipi uchafu huo ufanyike kwako. Kwanza, umeoa, rafiki yako kaoa, inabidi mheshimiane, maana ninyi watu wazima.

Utaendaje kwake umuangalie shemeji yako ambae uliruhusu rafiki yake kutendea maovu kwako! Je, huyu binti humuoni kama dada yako hivi au binti yako. Unafikiri dada yako atakuwa salama kwa huyu malaya rafiki?
 
Jamaa yako hana busara!,lakini alithubutu vipi kuingia chumbani bila ruhusa yako?...kichwa yako iko na shida mzee...
 
Kuna watu mna mioyo ya uvumilivu mno, ningekuwa mimi ningemwambia wazi wazi on the spot, kwamba "my friend,this is not a lodge" ningempa 20,000/= na kumwambia aende akatafute lodge huko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…