Hata hilo suala la charge ilikuwa ni namna tu ya kukutoa maskani watu wapate faragha.
Actually hizi mbinu hutumika kuwatoa watoto siyo mwenye nyumba yake.
Na ukizubaa hiyo nyumba yako itakuwa Guest house ya jamaa.
Jamaa siyo mstaarabu au alikuwa kalewa?