Nahisi kaka yake ndiye mpenzi wa demu wangu

Kama una mashaka naye kiasi hicho si upige chini tu mapema mambo yasiwe mengi?
 
Simama kama mwanaume kwenye mahusiano .

Mkalishe chini muhoji kwa kina ukitanguliza msimamo sio kucheka cheka.
Nimesha mbana sana , nimemuhoji mno anakadi ni kaka yake anapenda kufanya tuu hivyo, hata kuhusu mtoto nimemuhoji akasema ni wakaka yake pia. nikaamua kumpiga marufuku kumpost ila jana siku ya mwaka mpya karudia kosa wakuu
 
Weka picha zao wakiwa pamoja na huyo mtoto nasi tutazame kwa jicho letu la hukumu.
 
Weka picha zao wakiwa pamoja na huyo mtoto nasi tutazame kwa jicho letu la hukumu.
Mkuu picha yao ya moja kwa moja ni ngumu

Wewe zingatia hii picha ya maandishi

Demu wangu anafanana na huyo mwanaume kiasi cha hauwezi kukataa, ila mtoto kafanana sana na demu wangu na pia kafanana na huyu mwanaume pia

Shida ni kwamba ka kweli ni kaka yake kwanini waigize mapenzi na waigize ni mke na mume. Nitajuaje kama waigiza au ni kweli na kwanini ni mkataze demu wangu kuwa sitaki huu mchezo ila bado anarudia hataki kuacha?
 
Nnnachojua mabinti wengi huwa na mahaba Sana na Kaka zao, Ila uwa sio mahaba ya kimapenzi japo viashiria vinaweza kua vya kimapenzi
 
Daah mambo mengine yanachekesha Sana

Kama anavyosema ndugu yangu rikiboy "Hawa wanawake huwa mnawatoa wapi?"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…