Nahisi kaka yake ndiye mpenzi wa demu wangu

Wewe ni tutusa
 
Watu mnawezaje kuanzisha mahusiano serious wakati huo ndugu zake na mpenzi wako huwafahamu? Namba za wazazi wake hauna?
 
Nimesha mbana sana , nimemuhoji mno anakadi ni kaka yake anapenda kufanya tuu hivyo, hata kuhusu mtoto nimemuhoji akasema ni wakaka yake pia. nikaamua kumpiga marufuku kumpost ila jana siku ya mwaka mpya karudia kosa wakuu
Binti ana umri gani? Kama ni below 23 hiyo ni kawaida.
 
Hii ya mtoa mada ishawai nikuta zamani kidg, nmeeelezea vzur asome hatua nilizochukua inaweza kumsaidia
Tatizo la mtoa mada hajaoa, na sidhani kama anawafahamu wazazi wa huyo binti
 
Mkuu hii ni tamthlia au umeandika tukio la kweli? Napenda kwanza kufahamu hili kabla ya kukushauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…