moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
[emoji38]muda mwingine akili zako sijui unaziachaga wapiUsije ukamdhuru, tafuta nawewe mdogo wako wakike uwe unampost hadi kitandani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji38]muda mwingine akili zako sijui unaziachaga wapiUsije ukamdhuru, tafuta nawewe mdogo wako wakike uwe unampost hadi kitandani.
😂 kwani uongo au nimeshauri vibaya?[emoji38]muda mwingine akili zako sijui unaziachaga wapi
Wewe ni tutusaHuyu demu wangu ni mkimnya sana na muda mwingi hana time na mimi yupo busy na huyo kaka yake , wanaongea kimahaba sometime wakipigiana simu na wanajizima data kweli kweli
Pia ;:-
Sina uhakika kama kweli huyu mwanaume ni kaka yake ila wanafanana sana kwa sura hata ukiwaangalia huwezi kusema labda ni jamaa wa pembeni, ana mpost kila mara na anaandika maneno ya kimapenzi kwenye status
kila wakati anapost picha status wakiwa wametoka out pamoja na kaka yake ila cha kushangaza namuona na mtoto mdogo jinsia ya kike kama wa miaka mitatu hivi ndugu zangu
Nimepatwa na machale nimejaribu sana kumchunguza, anadai huyo ni kaka yake na mtoto ni wa kaka yake, na ukiangalia kwa makini wamefanana japo mtoto anafanana na yeye sana na anafanana pia na huyo mwanaume anaye sema ni kaka yake
Msimu huu wa mwaka mpya kampost tena wakiwa pamoja yeye na huyo anaye dai ni kaka yake wapo wamekamilika pamoja na binti yao mdogo, mbaya zaidi ameandika status i love you baby kaweka na wimbo wa mapenzi kabisa
Najiuliza sana
kama kweli ni kaka yake na anaigiza ,je kaka amekubali kufanyiwa huu mchezo mchafu na mdogo wake wa kuigiza ni wapenzi na ni mke na mume wenye katoto kadogo
Wakuu hii imekaaje maana sidhani kama hii siku ya leo huyu mwanamke ataimaliza salama
Wazazi wao wako wapi?Nimefanya juhudi ila nimeshindwa kumpata huyo mke wa kaka yake hali iliyopelekea kudhani demu wangu ndiye mke wa huyu kaka yake
😂😂😂😂Wazazi wao wako wapi?
Hii ya mtoa mada ishawai nikuta zamani kidg, nmeeelezea vzur asome hatua nilizochukua inaweza kumsaidiaFata huu ushauri ndugu yangu
Sawa mkuu asante kwa hiliCha kukushauri mwambie unahitaji kukutana na uyo Kaka yake,akigoma Basi ujue sio kaka yake.
CopyFata huu ushauri ndugu yangu
Binti ana umri gani? Kama ni below 23 hiyo ni kawaida.Nimesha mbana sana , nimemuhoji mno anakadi ni kaka yake anapenda kufanya tuu hivyo, hata kuhusu mtoto nimemuhoji akasema ni wakaka yake pia. nikaamua kumpiga marufuku kumpost ila jana siku ya mwaka mpya karudia kosa wakuu
Ukute hata mpango wa kuoa hana kazi kusumbua mabinti za watu.Cha kukushauri mwambie unahitaji kukutana na uyo Kaka yake,akigoma Basi ujue sio kaka yake.
Tatizo la mtoa mada hajaoa, na sidhani kama anawafahamu wazazi wa huyo bintiHii ya mtoa mada ishawai nikuta zamani kidg, nmeeelezea vzur asome hatua nilizochukua inaweza kumsaidia
Mkuu hii ni tamthlia au umeandika tukio la kweli? Napenda kwanza kufahamu hili kabla ya kukushauriHuyu demu wangu ni mkimnya sana na muda mwingi hana time na mimi yupo busy na huyo kaka yake , wanaongea kimahaba sometime wakipigiana simu na wanajizima data kweli kweli
Pia ;:-
Sina uhakika kama kweli huyu mwanaume ni kaka yake ila wanafanana sana kwa sura hata ukiwaangalia huwezi kusema labda ni jamaa wa pembeni, ana mpost kila mara na anaandika maneno ya kimapenzi kwenye status
kila wakati anapost picha status wakiwa wametoka out pamoja na kaka yake ila cha kushangaza namuona na mtoto mdogo jinsia ya kike kama wa miaka mitatu hivi ndugu zangu
Nimepatwa na machale nimejaribu sana kumchunguza, anadai huyo ni kaka yake na mtoto ni wa kaka yake, na ukiangalia kwa makini wamefanana japo mtoto anafanana na yeye sana na anafanana pia na huyo mwanaume anaye sema ni kaka yake
Msimu huu wa mwaka mpya kampost tena wakiwa pamoja yeye na huyo anaye dai ni kaka yake wapo wamekamilika pamoja na binti yao mdogo, mbaya zaidi ameandika status i love you baby kaweka na wimbo wa mapenzi kabisa
Najiuliza sana
kama kweli ni kaka yake na anaigiza ,je kaka amekubali kufanyiwa huu mchezo mchafu na mdogo wake wa kuigiza ni wapenzi na ni mke na mume wenye katoto kadogo
Wakuu hii imekaaje maana sidhani kama hii siku ya leo huyu mwanamke ataimaliza salama
Nyumbani kwa dada yakeMmekutania wapi kwani?
Siwafahamu kwa kweli kwa sura, ila dada yake ndiye na mfahamu tuu na hanipi ushirikianoTatizo la mtoa mada hajaoa, na sidhani kama anawafahamu wazazi wa huyo binti
Ni kweli mkuuMkuu hii ni tamthlia au umeandika tukio la kweli? Napenda kwanza kufahamu hili kabla ya kukushauri