Nahisi kaka yake ndiye mpenzi wa demu wangu

mahusiano gani hayo unayoongelea hapo??? hakuna mahusiano jamaa ajilie vyake apite hivi
Jamaa anaonekana yuko na interest kwa binti ndio maana nimemwambia atangulize msimamo binti ajue ni nani kwake na anachosimamia ni kipi.
 
Wewe ni mpenzi mtazamaji. Take control.
 
Nimesha mbana sana , nimemuhoji mno anakadi ni kaka yake anapenda kufanya tuu hivyo, hata kuhusu mtoto nimemuhoji akasema ni wakaka yake pia. nikaamua kumpiga marufuku kumpost ila jana siku ya mwaka mpya karudia kosa wakuu
Usiangalie nyuma achana naye itakusaidia na utaonyesha kuwa unamaanisha.
 
Endelea kufuatilia hadi tarehe 14feb utakuwa na majibu kamili
 
Ina maana hauna ndugu yeyote wa huyo mchumba wako ambaye unamfahamu ukamuuliza?

Au mchumba wa chuo I?
 
Basi mwite kibabe mkae mahali kisha muambie wasiwasi wako na mwambie akufungulie chati zao kwa kumstukiza akikataa mwambie tunaachania hapa nakuapia muangalie machoni mda wote utatupa mrejesho hapa
Mbinu ingine njoo inbox
 
Hiyo imeenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…