Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Wakuu, Nilinunua charger simu na cover la simu kutoka aliexpress, covers zinaonyesha zipo nchini tayari, lakini charger inaonyesha delivery wakati mimi wala sijaipokea, nimechat na muuzaji kanambia nicheck labda kuna ndugu amesign na kuchukua kwa ajili yangu wakati hakuna kitu kama hicho.
Nilikuwa natumia ebay sijawahi kukutana na changamoto yoyote, mizigo ilikuwa inafika posta napigiwa simu nachukua.
Kwa aliexpress hii ni mara ya kwanza kutumia, tafadhali anayejua nini cha kufanya katika issue kama hii aniambie.
_____________________
updates:
Wakuu, nimepokea charger yangu Supervooc 80w, iko bomba sana na sasa nitachaji simu yangu ya Oppo reno 11 pro kwa amani make hii ndo recommanded charger, na nimeona utofauti mkubwa mno. Asanteni.