Hujaza Kibaba
Member
- Sep 5, 2019
- 59
- 75
Case yangu ni kama hiiNilimpigiwa simu na mawakala wa speedaf ila nilikua mbal, sikupokea simu Yao, hawakunitafuta tena na mzigo Hadi Leo umepotea, speedaf niwaizi na matapeli Bora walivyokua wanaipeleka posta, kwasasa situmii tena AliExpress kwasababu ya hawa matapeli speedaf, kwasasa nitarud eBay