Nahisi kama nimepigwa Aliexpress

Dah sijui lini nitaanza na mimi kuagiza vitu abroad natamani kweli asee
 
kwa uzoefu, nilichagua item nikailipia kwa paypal, mzigo ulisafirishwa toka US hadi germany na FedEx, then ukasafirishwa germany to bongo na DHL, Nikapigiwa simu posta nakachukua.
Mkuu hiyo Airfryer ulonunia waweza tuma link ya uliponunua kama bado una details zake.
 
Mkuu Process ulizifanyaje, ulipata wapi Adress ya Germany ulojaza.
Mkuu, mimi nilinunua tu muuzaji ndo akatuma kwa namna hiyo, mzigo ulisafirishwa na FedEx kutoka Roosevelt, UT, US sehemu ambayo muuzaji alipo kwenda GLENDALE HEIGHTS, IL, US ambapo ndo hub center ya Ebay kule marekani. Baadae ukasafirishwa kwa FedEx kutoka GLENDALE HEIGHTS, IL, US kwenda Germany, kutoka Germany ukasafirishwa na DHL hadi bongo dar es salaam, na mwisho mzigo ukisafirishea hadi Babati, Manyara nami nikauchukulia Posta mjini Babati.
 
Bora ww unaona, wenzio hata taarifa hzo ni kama zilipotelea hewani. No records at all😂😂ndo ikawa mwsho wa stori
 
Okay nakupata ina maana wewe ulijaza tu adress yako mengine akamaliza yeye...!?
 
naona bidhaa iko “out of stock"
naona huyo muuzaji kamaliza mzigo, check kwa wauzaji wengine zipo nyingi tu brand tofauti tofauti, search "Airfryer Oven" pia angalia positive feedback ya seller angalau iwe 80% na zaidi ingawa sio muhimu sana.
 
naona huyo muuzaji kamaliza mzigo, check kwa wauzaji wengine zipo nyingi tu brand tofauti tofauti, search "Airfryer Oven" pia angalia positive feedback ya seller angalau iwe 80% na zaidi ingawa sio muhimu sana.
Nina swali moja mkuu, kwanini hukununua humu nchi ni...!?
 
Nina swali moja mkuu, kwanini hukununua humu nchi ni...!?
Ya hivyo au kufanana na hiyo hapa nchini bei ghali, zipo za silver crest na kenwood za mchongo bei chee ambazo utatumia muda mchache then linaharibika unaweka stoo, na pia hata ufanyaji kazi wake ni wa mchongo tofauti na specification zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…