Nahisi kaniachia gundu...

Hapa part C, mbna kama hueleweki unataka nini? Umesema mtoto unampatia huduma na unakula mzigo lakini ukija kumtongoza anakupiga chini!
Sasa hapo kama umeshakula mzigo kutongoza tena kwa kazi gani?
Jambo lingine imeonyesha hujuwi kutumia pesa kutongozea wanawake, iweje umuhudumie mtu kwa pesa zako mwezi mzima wakati kumbe hata hujamueleza chochote?
Mwanaume unaanzaje kuanza kuingia gharama za mwanamke, tena mwezi mzima wakati bado hujui yeye ni nani kwako?
 
Mkuu, hebu pitia na uzi huu ushushe nondo kule kwa nia ya kuelimisha.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…