Mwadilifu Mdhulumiwa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2021
- 419
- 640
Hapa part C, mbna kama hueleweki unataka nini? Umesema mtoto unampatia huduma na unakula mzigo lakini ukija kumtongoza anakupiga chini!Nimehonga mpaka nimechokaa nimejaribu mbinu A,B,C zakuhonga lakin wamegoma
Tuanze na hii mbinu A
A- hapa nidemu anapewa mahitajivyote bila hata kutongozwa,nahakikisha haliishida mbinu hii nimejaribu kwa muda wa mwenzi mmoja ilihata dem hajitongozeshe lakin wapii ,kidume naamua kumueleza malengoyangu juu yake mtoto ananipiga chini
B- Mtoto nampa huduma yakawaida namjalii namfanyia suprz lakin muda wa kutongozwa anasepa
C- mtoto anapata huduma pasipo kutongozwa ila kuliwa mzigoo analiwa haswaa lakin napokuja kumtongoza napigwa chini
Nihayo tuu ndugu zangu
Sasa hapo kama umeshakula mzigo kutongoza tena kwa kazi gani?
Jambo lingine imeonyesha hujuwi kutumia pesa kutongozea wanawake, iweje umuhudumie mtu kwa pesa zako mwezi mzima wakati kumbe hata hujamueleza chochote?
Mwanaume unaanzaje kuanza kuingia gharama za mwanamke, tena mwezi mzima wakati bado hujui yeye ni nani kwako?