Nahisi kaniachia gundu...

Nahisi kaniachia gundu...

Nimehonga mpaka nimechokaa nimejaribu mbinu A,B,C zakuhonga lakin wamegoma

Tuanze na hii mbinu A

A- hapa nidemu anapewa mahitajivyote bila hata kutongozwa,nahakikisha haliishida mbinu hii nimejaribu kwa muda wa mwenzi mmoja ilihata dem hajitongozeshe lakin wapii ,kidume naamua kumueleza malengoyangu juu yake mtoto ananipiga chini

B- Mtoto nampa huduma yakawaida namjalii namfanyia suprz lakin muda wa kutongozwa anasepa

C- mtoto anapata huduma pasipo kutongozwa ila kuliwa mzigoo analiwa haswaa lakin napokuja kumtongoza napigwa chini

Nihayo tuu ndugu zangu
Hapa part C, mbna kama hueleweki unataka nini? Umesema mtoto unampatia huduma na unakula mzigo lakini ukija kumtongoza anakupiga chini!
Sasa hapo kama umeshakula mzigo kutongoza tena kwa kazi gani?
Jambo lingine imeonyesha hujuwi kutumia pesa kutongozea wanawake, iweje umuhudumie mtu kwa pesa zako mwezi mzima wakati kumbe hata hujamueleza chochote?
Mwanaume unaanzaje kuanza kuingia gharama za mwanamke, tena mwezi mzima wakati bado hujui yeye ni nani kwako?
 
Usharogwa wew sio bure

hao wapumbavu wanaokushaur utafte pesa, wakae wakijua mapenzi si pesa kila muda, japo pesa ina umuhimu lkn umuhimu wake ni kwa wanawake makahaba, yaan walioamua kuitumia K" yao kuwa kitega uchumi,

uwepo wa hawa makahaba wapenda pesa ktk mapenzi haiondoi ukwel kuwa wapo wanawake wasiohitaji hizo pesa zaid ya upendo wa kweli.

wew umekataliwaje na wanawake wengi kiasi hicho na uone ni kitu cha kawaida?.

jiongeze mzee baba, dawa ya moto ni moto, sitokwambia direct ufanye nini, lkn najua wajua kuwa dawa ya moto ni moto, yaan dawa ya gundu, nuksi, vijicho, mikosi, wapo wahusika wa hayo mambo.

usiwafikilie sana hawa wapuuzi wanaokushaur utafte pesa, wakat huo wapo ambao hawana pesa lkn wanawatafuna madenti buree na pesa wanatoa hao hao madenti.

uamuz ni wako, kuamua kushughurikia ushauri wakipuuzi wa hawa watafta pesa, ama kusolve matatizo yako behind the human ability.
Mkuu, hebu pitia na uzi huu ushushe nondo kule kwa nia ya kuelimisha.


 
Back
Top Bottom