Nahisi King Kong III ni pacha wangu aliyepotea

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Ulipotelea wapi King Kong III baba na mama wanakulilia, umegeukia dini mpya ya urastafari ukamsahau Mungu wa kweli rudi nyumbani. Nyoa kwanza rasta
 
Last edited by a moderator:

  • Ngoja niangalie kwa ukaribu
avatar28480_5.jpg Vsavatar63949_3.jpg​

  • Nakuja ngoja nichukue miwani.
 
View attachment 110610

View attachment 110611

Wenye picha hapo juu wanatafutwa na wazazi wao...donge nono kutolewa.

Mara ya mwisho walionekana nyumbani kwa mzee Bujibuji baada ya kutazama maziwa fresh hadi yakawa mgando...
Isitoshe kabla ya kuondoka nyumbani kwao, waliziacha mboga zote zilikuwa zimechacha...
Tanesco pia wanawasaka hawa vijna kwa udi na uvumba, eti inasemekana wao ndio chanzo cha mgao wa umeme maana kwa namna walivyo weusi wakipita mahali popote penye mwanga lazima eneo hilo likumbwe na giza totoro.
 
wapo kwangu mtani.....
wanangu walikuwa wanasumbua sana kula, tangu hao wamefika wanangu wanakula faster, tena wanamaliza kila utakachowawekea kwenye sahani zao.......
nina mpango wa kuwa-keep kwa mwezi mmoja halafu nawahamishia kwa rafiki yangu cacico wamsaidie twins wake kula
 
hahahahahahha wangu upo?? nimekuona mtaa wa pili umependedhaje thatha?? by the way mi mith, loool! ufanye tuonane ukirudi kha!
 
ha haaaa, chezeya "mama mwenye nyumba" wewe?
frankly, mi mith you pia, sana tu..... hivi wanasemaga siku hazigandi..... mi naona kama zinaganda vile.
Anyaway, soon.... very soon
 
Back
Top Bottom