Ulipotelea wapi King Kong III baba na mama wanakulilia, umegeukia dini mpya ya urastafari ukamsahau Mungu wa kweli rudi nyumbani. Nyoa kwanza rasta
Ulipotelea wapi King Kong III baba na mama wanakulilia, umegeukia dini mpya ya urastafari ukamsahau Mungu wa kweli rudi nyumbani. Nyoa kwanza rasta
nimekwambia hiyo picha itoe
- Ngoja niangalie kwa ukaribu
- Nakuja ngoja nichukue miwani.
nimekwambia hiyo picha itoe
mwenzio picha aliyoiweka yaani bora ya hata hiyo ya mwanzo kwani ndo maajabu matupu
wapo kwangu mtani.....View attachment 110610
View attachment 110611
Wenye picha hapo juu wanatafutwa na wazazi wao...donge nono kutolewa.
Mara ya mwisho walionekana nyumbani kwa mzee Bujibuji baada ya kutazama maziwa fresh hadi yakawa mgando...
Isitoshe kabla ya kuondoka nyumbani kwao, waliziacha mboga zote zilikuwa zimechacha...
Tanesco pia wanawasaka hawa vijna kwa udi na uvumba, eti inasemekana wao ndio chanzo cha mgao wa umeme maana kwa namna walivyo weusi wakipita mahali popote penye mwanga lazima eneo hilo likumbwe na giza totoro.
hahahahahahha wangu upo?? nimekuona mtaa wa pili umependedhaje thatha?? by the way mi mith, loool! ufanye tuonane ukirudi kha!wapo kwangu mtani.....
wanangu walikuwa wanasumbua sana kula, tangu hao wamefika wanangu wanakula faster, tena wanamaliza kila utakachowawekea kwenye sahani zao.......
nina mpango wa kuwa-keep kwa mwezi mmoja halafu nawahamishia kwa rafiki yangu cacico wamsaidie twins wake kula
ha haaaa, chezeya "mama mwenye nyumba" wewe?hahahahahahha wangu upo?? nimekuona mtaa wa pili umependedhaje thatha?? by the way mi mith, loool! ufanye tuonane ukirudi kha!
Kiukweli kweliii nimekumiss mno, kumbuka, bado hatujaenda Riddy's Farmhahahahahahha wangu upo?? nimekuona mtaa wa pili umependedhaje thatha?? by the way mi mith, loool! ufanye tuonane ukirudi kha!
- Ngoja niangalie kwa ukaribu
- Nakuja ngoja nichukue miwani.