Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...

Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Tuliza akili kijana. Wanawake wapo wengi mtaani. Usilazimishe kupenda usipopendwa. Usipoufuata huu ushauri wangu, basi jiandae kwenda kunyea ndoo maisha yako yote! Au jitie kitanzi. Maana hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom