Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #21
Bado hayajakukuta mkuuyani umechanganyikiwa na unataka kutuchanganya na sisi hata kabla hatunjanywa chai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado hayajakukuta mkuuyani umechanganyikiwa na unataka kutuchanganya na sisi hata kabla hatunjanywa chai
Wanao enda jela sio wote wana hatia mkuu wengine wana tafutiwa sababuPole sana mkuu,angalia tu usije kujinyonga
Mzee! Aliyekwambia stress zote ni sababu ya mapenzi ni nani?Tuliza akili kijana. Wanawake wapo wengi mtaani. Usilazimishe kupenda usipopendwa.
Usiombe yakukute mkuu..Kuna zee limekuchapia mkeo nini maana muda mfupi uliopita uliketa andiko la mizee kuwatom**a vijana wake zao.Utanisamehe kama nimekufananisha
Hayajakukuta mkuu acha kabisa sema mdomo koma..Tuliza akili kijana. Wanawake wapo wengi mtaani. Usilazimishe kupenda usipopendwa.
Aliumwa ula alivopona alisimuliaMzee! Aliyekwambia stress zote ni sababu ya mapenzi ni nani?
Kwa maandishi yake, huyu michongo inamgomea
Hamu ya kula sina toka jana...Kunywa chai ya maziwa na vitumbua utanishukuru badae!
Shida ndio iko hapo!Situmii kilevi mkuu...
Konyagi ya baridi inapatikana wapi?Tuliza kichwa Kanywe Konyagi baridi
Everything happen for a reason
Flying fish six pack NDIO JIBU LAKO.Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Mkuu kwa maneno yako una uhakika huli nalopitia nikinywa litapita auShida ndio iko hapo!
Hata wanaopigwa stroke wengi hawatumii kilevi. Wamebeba matatizo mengi sana
Bado hayajakukuta mkuu.Flying fish six pack NDIO JIBU LAKO.
#YNWA
Nenda counter mwambie akuwekee kwenye fridgeKonyagi ya baridi inapatikana wapi?
Nateseka mwenzenu..tiyari yaani tayari
Ni kweli au?Usiombe yakukute mkuu..
Utatamani ardhi ipasuke
Ana uzi wake mwingine una trend wa kutulaumu na kutulalamikia sisi wazee kwa kumchukulia mpenzi wake. Ndiyo maana nimempa ushauri wa kumtafuta wa kufanana naye.Mzee! Aliyekwambia stress zote ni sababu ya mapenzi ni nani?
Kwa maandishi yake, huyu michongo inamgomea