Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Wape mkuu,mimi nitatengeneza muvi kabisaa.nishawahi kupigwa kibuti necta kesho kutwa ila nikatoboa.
Alienipiga kibuti akafeli akarudia form Two.😂😂.
 
Wape mkuu,mimi nitatengeneza muvi kabisaa.nishawahi kupigwa kibuti necta kesho kutwa ila nikatoboa.
Alienipiga kibuti akafeli akarudia form Two.😂😂.
 
Nimepitia comments humu nimeona watz sio watu kabisa ni mazombie. Mnajua jamaa anapitia nini? Hakika najuta kuwa part ya hii society kwa comments hizi jamaa anaweza jitoa uhai, au kufanya tukio baya.

Hili liwe fundisho msitafte suluhu mitandaoni. Hakuna akujuae huku jenga mahusiano bora na watu wako wa karibu ili wawe nguzo yako wakati wa matatizo
 
Kaka anza kuandika kabisa utakuja tu kupaste humu, nitakua siti ya kwanza na kitambaa changu cha kufuta machozi🤸
Sawa, kuna mda wewe hauchagui maisha ya kuishi ila maisha yanakuchagua wewe.
 
Ila standard iendane na uwezo na mazingara mkuu.
Isipoendana na uwezo/mazingira ndio tunakutana na visa vya namna hii. Ukiona classmates nk wanaishi maisha mazuri wakati wewe haujafika popote ni lazima kichwa kiwake moto. Shida ipo hapo...
 
Kunywa mchanganyiko wa Arovera mbichi na tangawizi glass moja wenge lote linakata unabakia kusikilizia uchungu wa sharubati...
 
Kunywa mchanganyiko wa Arovera mbichi na tangawizi glass moja wenge lote linakata unabakia kusikilizia uchungu wa sharubati...
😁😁 kama washauri ndio nyie Acha tu mdau akajiue😁
 
😁😁 kama washauri ndio nyie Acha tu mdau akajiue😁
Tunamchangamsha kidogo... 😀 😀 😀 unajua unaweza kuwa na stress ila kupitia comments zingine ukajikuta unacheka tuu na hasira zikakuishia...
Zile comment za kumpa moyo..sijui kumpa pole zinaleta simanzi kichizi bora umpe comment ngumu ngumu aamue mwenyewe kumeza au kutema...
 
Screenshot 2024-06-06 101606.png
 
Tunamchangamsha kidogo... 😀 😀 😀 unajua unaweza kuwa na stress ila kupitia comments zingine ukajikuta unacheka tuu na hasira zikakuishia...
Zile comment za kumpa moyo..sijui kumpa pole zinaleta simanzi kichizi bora umpe comment ngumu ngumu aamue mwenyewe kumeza au kutema...
Sure mkuu ,safi sana apo unatumia njia inayoitwa Gelotology.
 
Ana uzi wake mwingine una trend wa kutulaumu na kutulalamikia sisi wazee kwa kumchukulia mpenzi wake. Ndiyo maana nimempa ushauri wa kumtafuta wa kufanana naye.

Huyo aliyempiga tukio, atuachie sisi wazee wenye pesa za kumtunza na kumpetipeti.
Ah! huyo hajielewi tuu. Kwani huyo aliyempiga tukio ameondoka nayo? Si amembakishia iko mahali pake pale pale tena kwa usalama?
 
Back
Top Bottom