Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...

Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Pole sana Ndg.. jitahidi kama ni mkristo kuhudhuria Ibada na kuwa mtu wa sala. Itakusaidia, jitahd pia kujichanganya na watu ukikaa peke yako basi ni wakati wa kulala. Hapo utayaepuka mabaya mengi na uovu mwingi.
 
Nipumzike sasa...
Nashukuru kwa yote. Huwenda kila kitu kina sababu.
Upumzike kwa amani. Na pole sana kwa changamoto ulizopitia. Na kama inafikiri wewe ndiyo mtu wa kwanza, basi utakuwa umekosea. Wapo wenzako kibao wamepitia magimu mengi, na bado wamefanikiwa kuyashinda.
 
Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...

Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...

Unaongelea binadamu kumbe, basi IQ yako ndogo, nilidhania labda ya Mungu nikajua ugonjwa etc kitu ambacho huna uwezo nacho kuki control, yaani binadamu wanakuchosha? IQ yako ndogo mnoo..!!
 
we si ndo jana ulkua unanishauri mambo fulani fulani,,, aloooh kwel kila m'babe na m'babe wake
 
Nadhani baada ya hili kupita utakuwa umeelewa atleast dunia inakutaka uishi vipi katika angle yoyote mkuu.
 
Ipo siku nitakuja kutoa story yangu humu ya mambo niliyopitia ,naona vijana wana mapito madogo tu lakini wanataka kujiua😊
Kaka anza kuandika kabisa utakuja tu kupaste humu, nitakua siti ya kwanza na kitambaa changu cha kufuta machozi🤸
 
Back
Top Bottom