Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

Nahisi kuchanganyikiwa na kuchoka

KILA MWANA WA ADAMU ANAPITIA CHANGAMOTO NA MAMBO MAGUMU KATIKA MAISHA YAKE, KUNA WAKATI MWINGINE UNATAMANI UJIUE AU UFE ILI KUEPUSHA MAGUMU UNAYO PITIA.

TULIZA UFAHAMU WAKO UJENGE UTULIVU ENDELEA KUKAZA MOYO NA KUMWOMBA MOLA MLEZI AKUPE BUSARA , HEKIMA NA MAARIFA, KILA KITU KITAKUWA SAWA, KILA LA KHERI MKUU.

#ROCKERFELLER
 
Ana uzi wake mwingine una trend wa kutulaumu na kutulalamikia sisi wazee kwa kumchukulia mpenzi wake. Ndiyo maana nimempa ushauri wa kumtafuta wa kufanana naye.

Huyo aliyempiga tukio, atuachie sisi wazee wenye pesa za kumtunza na kumpetipeti.
Sawa! Sibishani na wewe naogopa Laana🤸
 
Pole sana mkuu,
Hii dunia hakuna kuipumzisha akili hadi siku pumzi inakata. Tafuta namna nzuri ya kutatua changamoto yako, ongea na watu wa karibu (unaowaamini), usikae na mambo kichwani.
 
Back
Top Bottom