Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Tuliza kichwa Kanywe Konyagi baridiWakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Ombea yasikukuteKwa jinsi ulivyoandika na wewe mwenyewe ni maluweluwe
Situmii kilevi mkuu...Tuliza kichwa Kanywe Konyagi baridi
maninOmbeai yasikukute
Mpe na coke kabisaaaUnawaza kwa sauti au unatuambia????
Uko wapi nikupe Skanka kwanza utulize wenge utuelekeze vizuri .
Piga kimoja cha chuga wenge liishe!Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Sio wanaoenda jela wote wana hatia..wengine hutafutiwa matukioMpe na coke kabisaaa
Jiue. Huna faida yoyoteWakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Tuliza akili kijana. Wanawake wapo wengi mtaani. Usilazimishe kupenda usipopendwa. Usipoufuata huu ushauri wangu, basi jiandae kwenda kunyea ndoo maisha yako yote! Au jitie kitanzi. Maana hakuna namna nyingine.Wakuu nimechoka toka jana sijalala...
Nahisi kuchanganyikiwa...
Nahisi maluwe luwe .
Sielewi kwanini haya yanatokea kwangu...
Nimechoka sasa nimechoka.
Kama mbwai iwe mbwai tuu...
Situmii mkuu mi ulevi wangu mizkiPiga kimoja cha chuga wenge liishe!
Asante kwa ushauri mkuuJiue. Huna faida yoyote
Mambo ya dunia hi.
Binaadamu wabaya sana mkuu.
Wabaya mno