Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Tafuta pesa enough nenda Nairobi ,Kenya , Kuna hospitali ya kikatoliki inaitwa "The Matter Hospital" ni private ,au aga Khan Nairobi , hizo hospitali mbili npo sure watakupa meejesho , madaktari wao ni wazee very experienced . All the best mkuu
 
Mgonjwa anaye taka kufa anachat kuomba msaada jamii forums hii hatari sana [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
Ndu
Mkuu acha tu, kwaiyo mzee alikufa bila kujulikana nini kilimuua?
 
Sawa mkuu nashukuru kwa ushaur wako ntaufanyia kazi
 
Mi namsamehe tu mkuu hajui alisemalo, mungu akuepushe na haya napitia
Dah! Pole sanaa aise.. sikujui lakin tatizo lako limenigusa sanaa.
Mwenyezi Mungu akusaidie Na akufanyie wepesi upone.
Pia zingatia sana ushauri wa humu ukafanyie kazi I believe utapona lakin pia isipokua hivyo basi maana tunaishi kwa sabab ya kuisha

Kila La Kheri Kiongozi Mungu akusaidie sana🙏🤲
 
Sawa
Sawa mkuu ntatafta hizi bidhaa nifanye ivo, shukran sana
 
Nashukuru sana kwa kujari ndugu yangu,, mungu akuzidishie kuwa na moyo huohuo ubarikiwe sana mkuu
 
Ahsante mkuu, ubarikiwe kwa ushaur wako
Tafuta pesa enough nenda Nairobi ,Kenya , Kuna hospitali ya kikatoliki inaitwa "The Matter Hospital" ni private ,au aga Khan Nairobi , hizo hospitali mbili npo sure watakupa meejesho , madaktari wao ni wazee very experienced . All the best mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…