Nahisi kufa nahitaji msaada wa haraka

Watu wengine huwa akili zenu zinawaza nini? So wewe unadhani kwa ugonjwa huu mleta mada hajaenda hospital ila kaanzia hapa Jf? Shwain
Wanaamin sana hospital lakin wangejua madakitari wengi huko wana D2 ila wapo vitengo vya juu alaf wabishi hawana muda wa kushauriana na mgonjwa
 
Ahsante sana kwa kujali mkuu
 
Ila cha moto nakiona mkuu nipo kwenye tanulu
Huwa najiambia mwenyewe hili limeachiliwa lije kwangu ,lakini najua Mungu ataachilia na uwezo wa kulishinda pia, usiache kumtegemea Mungu, Huwa naamini Kuna wakati nilitakiwa kufa ,ni miaka kama ishirini Sasa , ila kwa imani kubwa sikufa,

Sikufariji kwa maneno yangu ,ila niamini ninalokwambia,ukiwa na matatizo na ukakata tamaa kwa Mungu,(yaani ukaweka pembeni utashi na ufahamu wako wote pembeni na kumwambia Mungu am all yours, kama umeamua nife sawa,ila Mimi Bado nataka kuishi kwa sababu A,B,C na nk, hivo nakutegemea) ,yeye hujidhihilisha zaidi kuliko wakati wowote ule , Jenga utaratibu wa kulalamika kwa Mungu kama vile unavolalamika kwa mpenzi wako au rafiki Yako, hakikisha unakuwa pekeyako, maana waja wakikuona watasema Tayari king'amuzi kimeyumba,. ,. Pia jifunze kushukuru Kila siku ukiamka ukajikuta Bado upo mzima,kwenye kushukuru Kuna nguvu sana sana, it sounds as if unaomba sababu ya kuishi Tena,

Mungu akutie Nuru pamoja na nguvu ,ukazidi katika afya, Mimi nakuombea heri rafiki yangu
 
Km hujapona bado unaishi niambie nikupe Dawa upone usahau maumivu achana na hao madokta wenye D2 njoo kwa modokta wenye makarai ya kukaangia chipsi
 
Mh! Unaandika mambo magumu
Acha tu ndugu yangu mbele yangu nalionaa giza tu, ndugu mpaka leo nipo licha ya kukubali kuondoka kwenye hii dunia, nakishukuru sana kinachonikinga pale ninapotaka kuchukua maamuzi magumu
 
Amen ndugu yangu,,,, ubarikiwe sana mkuu
 
Ahsante sana mkuu naona nimeteseka muda wangu wa kuondoka umefika
Pole Sana mkuu, Mungu atakuponya tu,mi Kuna kipindi niliugua ugonjwa wa ajabu madonda ya tumbo so madonda kwa mda wa miaka 5 nilikonda Sana watu walidhani Nina ukimwi ndugu walinitenga , nilikonda Sana unaweza ukaamuka angalau umenenepa kidogo lakini baada ya dakika unakonda Kama mbu, nilikuwa nawaonea wivu wanene sikupata msaada wowote iwe kwa ndugu ama nani wote walininyanya paa,,kilichobaki nikawa naomba tu kufaa maanashasulubika vya kutosha chakushangaza Hali ile mpaka sasa imekata Niko vizuri tu nasizani Kama ,,, kwahiyo ndugu ni mitihani tu MUNGU atakuponya
 
Acha tu ndugu yangu mbele yangu nalionaa giza tu, ndugu mpaka leo nipo licha ya kukubali kuondoka kwenye hii dunia, nakishukuru sana kinachonikinga pale ninapotaka kuchukua maamuzi magumu
Mungu akusaidie upate matibabu
 
Bado mkuu
Mkuu mim nilikuwa na matatizo flan kama 2 years ago, nilikata tamaa na nikawa natamani/naona bora kufa maana sikuwa naona tena thamani ya kuwa hai kwani ni mateso tu. Ilifikia stage nikawa nawaonea wivu waliotangulia mbele ya haki. Tatizo langu lilikuja kuisha katika hali ya maajabu sana. Kwani dalili zote zilikuwa zinaonyesha ni tatizo la kisayansi na linaweza sababishwa na hiki au kile ambapo kweli hizo sababu kwa upande wangu zilikuwa valid. Kifupi nilikuja kuponea kwa mmoja wa hawa manabii ambao zamani nilikuwa nawadharau sana, yaani mimi uniambie juu ya manabii sijui nabii nani aisee nilikuwa naona watu ni wajinga sana. Leo hii nikisikia mtu anasema kuhusu mambo ya manabii huwa sina comment kwani nilikotoka najua mwenyewe kuwa ningekuwa mfu. Sema manabii wengi ndiyo vile tena. Should you be interested or want more details njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…