Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Msaada wa kimawazo masaibu ya dunia hii ni mengi, sijawahi kuwa Furaha hata chembe, ni vioja kila siku.
Sijui nimekosea wapi?..
Nna imani hii Hali sio ya kudumu ni ya kupita tuu.
Yatakwisha...
====
Sijui nimekosea wapi?..
Nna imani hii Hali sio ya kudumu ni ya kupita tuu.
Yatakwisha...
====
Vumilia mkuu,hata mimi mwanzo nilikua kama wewe ila baadae nikatambua kuwa hakuna wa kunipa furaha zaidi yangu mimi mwenyewe. Jitazame wewe wa jana na leo,tambua kuwa hai tu ni jambo la kheri!,jikubali na amini katika kile unachokifanya.
Jitazame ulivyo,thamani yako ni kubwa. Kuna sababu ya wewe kuwa hai mpaka sasa,itafute sababu hiyo na ukiijua hutokosa amani tena.
Tafuta shughuli/kazi za kukufanya uwe bize muda mwingi. Hapa namaanisha kuwa ifanye akili yako iwaze kutimiza jambo/kazi fulani,hapa namaanisha hakikisha siku inazama huku ukiwa na mikakati ya kumalizia au kuanza kazi fulani siku inayofuata.
Kama ni kijana na unaishi kwa ndugu,jamaa,rafiki au wazazi hama hapo, kuna muda tunahitaji kuwa huru kiasi. Tafuta hata chumba,panga uishi mwenyewe,waza maisha yako mwenyewe.
Sent using Jamii Forums mobile app