Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mliambiwa msioe mkajifanya wabishiKwa ufupi yeye anaependa kuishi maisha flavi hivi ambayo hana
NishakoseaMnakopa ili hela muifanyie maendeleo au mnakopa ili mtumie kwenye anasa mkuu
Kosea mambo yote ila sio kuoa au kuolewa na mtu sahihii
Kama vile unaishi Arusha eeWadau nahisi kukataa tamaa kabisa,madeni mengi pia mwenzangu naona hatuendi sawa kwenye swala Zima la maisha,Nina watoto nae aliniambia nikimtimua ataenda ustawi wagawe posho yangu by 2,huyu mwanamke amesababisha Nina madeni halafu ananipushi niendelee kukopa,mambo ambayo mimi sihitaji,pili yeye hata kama anatumia salary yangu haoni kama Kuna kitu nafanya kwenye familia,Kwa ufupi yeye anaependa kuishi maisha flavi hivi ambayo hana.kiukweli mimi SI mtu wa kupenda kuopa kopa bila sababu za msingi.Nafikiria nimwache ingawaje Si jambo lilikuwa nafikiria kufanya.kuna jambo nilikuwa nilikuwa nimwemwambia asifanye kuhusu watoto lakini yeye anafanya,Sasa mtu kama huyu,naendelea kukaa Naye Ili iweje?
Basi huyo ni chaguo lako mkuu mvumilie tuNishakosea
Kuna wanawake utamkataza kiti hasikii unakirudia tu huwa inakera sana,fukuza huyo.Wadau nahisi kukataa tamaa kabisa, madeni mengi pia mwenzangu naona hatuendi sawa kwenye swala Zima la maisha.
Nina watoto nae aliniambia nikimtimua ataenda ustawi wagawe posho yangu by 2, huyu mwanamke amesababisha Nina madeni halafu ananipushi niendelee kukopa, mambo ambayo mimi sihitaji.
Pili yeye hata kama anatumia salary yangu haoni kama Kuna kitu nafanya kwenye familia, Kwa ufupi yeye anaependa kuishi maisha flavi hivi ambayo hana.
Kiukweli mimi si mtu wa kupenda kuopa kopa bila sababu za msingi. Nafikiria nimwache ingawaje Si jambo lilikuwa nafikiria kufanya, kuna jambo nilikuwa nilikuwa nimwemwambia asifanye kuhusu watoto lakini yeye anafanya.
Sasa mtu kama huyu, naendelea kukaa naye Ili iweje?
Hakuna mtu aliyepatia kuoa hata mmoja duniani, wote huwa wanakosea. Kwa hiyo usijihisi ulikosea.Wadau nahisi kukataa tamaa kabisa,madeni mengi pia mwenzangu naona hatuendi sawa kwenye swala Zima la maisha,Nina watoto nae aliniambia nikimtimua ataenda ustawi wagawe posho yangu by 2,huyu mwanamke amesababisha Nina madeni halafu ananipushi niendelee kukopa,mambo ambayo mimi sihitaji,pili yeye hata kama anatumia salary yangu haoni kama Kuna kitu nafanya kwenye familia,Kwa ufupi yeye anaependa kuishi maisha flavi hivi ambayo hana.kiukweli mimi SI mtu wa kupenda kuopa kopa bila sababu za msingi.Nafikiria nimwache ingawaje Si jambo lilikuwa nafikiria kufanya.kuna jambo nilikuwa nilikuwa nimwemwambia asifanye kuhusu watoto lakini yeye anafanya,Sasa mtu kama huyu,naendelea kukaa Naye Ili iweje?