BodGanleonid
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 3,021
- 4,330
Thread za hivi ndo zinawafanya hawa jamaa wenye kampeni ya "KATAA NDOA,,NDOA NI WIZI,,NDOA NI UTAPELI" Wapate nguvu kila kukicha ya kuendeleza kampeni yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda mwingine ua inapobidi.
Muda mwingine ua inapobidi.
Umeongea vyema sana ndoa yako Ina miaka mingap mkuuHakuna mtu aliyepatia kuoa hata mmoja duniani, wote huwa wanakosea. Kwa hiyo usijihisi ulikosea.
Unachotakiwa kufanya ni kuishi naye kwa akili tu wala usishindane naye. Mfano, kuhusu watoto usiwapende sana watoto kuliko unavyompenda mama yao maana unao uwezo wa kupata wengine na mwanamke mwingine.
Kuhusu kukopa, kopa kwa malengo na kwa tahadhari, akishajua umekopa mpaka hukopesheki atakutafutia kosa akumwage mugawane mbao. Usione mtu anajenga nyumba haiishi kwa miaka kadhaa japo wanafursa za kukopa. Wanasababu zao. Usimuache bali ishi naye kwa akili.
😳😳😳Muda mwingine ua inapobidi.
Mtu mwenye akili timamu hawezi uaMuda mwingine ua inapobidi.
Tunawaambia kila siku mwanaume kataa ndoa kwa nguvu zote, hamuelewi. Mna kazi ya kuja kutulilia hapa. Narudia tena MWANAUME KATAA NDOA! Tunafanywa chambo wa wanawake na tunakufa na stress tupu kwa ajili yaoWadau nahisi kukataa tamaa kabisa, madeni mengi pia mwenzangu naona hatuendi sawa kwenye swala Zima la maisha.
Nina watoto nae aliniambia nikimtimua ataenda ustawi wagawe posho yangu by 2, huyu mwanamke amesababisha Nina madeni halafu ananipushi niendelee kukopa, mambo ambayo mimi sihitaji.
Pili yeye hata kama anatumia salary yangu haoni kama Kuna kitu nafanya kwenye familia, Kwa ufupi yeye anaependa kuishi maisha flavi hivi ambayo hana.
Kiukweli mimi si mtu wa kupenda kuopa kopa bila sababu za msingi. Nafikiria nimwache ingawaje Si jambo lilikuwa nafikiria kufanya, kuna jambo nilikuwa nilikuwa nimwemwambia asifanye kuhusu watoto lakini yeye anafanya.
Sasa mtu kama huyu, naendelea kukaa naye Ili iweje?
Pin tayri ,quarter pinIko hivi kwanza tujue umeshafunga nae ndoa ?? Kama Bado usifunge wait until age 47 pili kuuza uchumi wako tatu focus na kazi Muombe sana mungu mwisho mzalie mtt njee muoneshe akili Iko inn and sometime out ataa kwenye reli imeandikwa tuishi nao Kwa akili Hawa viumbe are snake ndo kiumbe pekee waliofanya contract na shetan ana Kwa ana
Fukuza huyo jambaziPin tayri ,quarter pin
Nenda huko ustawi wa jamii anapooona panakutisha ukajue haki zako kabla hujamuacha ,ukishaijua haki yako hawezi kukutishia tena
Uungwana wangu sikutaka mambo ya zinaa nduguWenzio weny akili hawaoi hawa wanawake wenye mambo mengi sijui mawigi mara kutwa kweny sherehe za marafiki na michango juu...wapenda show off tulia tafuta mwanamke katulia hata ukimpa 60k ya kununua nguo anaona nyingi hawa wa mjini kama hana kazi utajuta mara kucha, make up ,mawingi gharama nyingi kuwa smart mfano wigi la 60k kila wiki anabadili unafikria utamuweza kwa pesa zako za mawazo.
Kama hana kazi awe low katika matumizi na bado ana utoto mwingi sana....Kama ndo wale wa kuacha kichwa wazi utakosa izo gharama za kujipodoa huko kichwani kuweka manywele bandia.
Zinaa sio jambo jema Yes, lakini usiruhusu uungwana wako ukageuka kua mateso yako.U
Uungwana wangu sikutaka mambo ya zinaa ndugu
Huko nasikia huchomoki,kama akienda nataka nikimbilie hata ugana
Pole sana, nimegundua unaishi na mwanamke ambae ndio kichwa cha familia.Huko nasikia huchomoki,kama akienda nataka nikimbilie hata ugana