Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

Mkuu mm mwanamke simtesi simnyanyasi ila siwezi kutawaliwa na mwanamke na siwezi kumpiga mwanamke
Sio kuwa hatujui kupiga ngumi,mimi mambo ya ugomvi sitaki kabisa najiepusha nayo Sana Kwa ujumla sihitaji Shari na wanadamu
 
Pole mkuu, kuwa na msimamo Kama mwanaume
 
Chuma ulete huyo, kuendelea kukopa wakati una mzigo wa madeni ni kuzidi kuongeza tatizo. Uwezi kufukia shimo ukiwa shimoni.
 
Umeongea vyema sana ndoa yako Ina miaka mingap mkuu
Ukiona mtu anaelezea mambo ya ndoa jua kuna mawili, aidha hana mke kabisa, au mke anaye lakini hajawahi kupigwa tukio la kumtikisa.
 
Haya mambo Mengine tuyaache ,sitaki kuacha footprints
 
Kuna watu ni watumishi lakin hawatishiw nyau na hawa wanawake,akizingua anasepeshwa na hafanyi kitu

Nenda kwa mganga akusaidie kumuondoa
 
Mkuu mm mwanamke simtesi simnyanyasi ila siwezi kutawaliwa na mwanamke na siwezi kumpiga mwanamke
Hiyo ndo akili ya kuishi nao Mzee baba ila ukijifanya unambavu n hatari utaishi maisha yako yote uliobakiza kama upo sero ndo maana wanaume WENGI hujinyongaaa
 
Ukiona mtu anaelezea mambo ya ndoa jua kuna mawili, aidha hana mke kabisa, au mke anaye lakini hajawahi kupigwa tukio la kumtikisa.
Hapo kwenye kuowa na ndo na mashaka nayo ila uwe kwenye ndoa na hujapigwa tukio n uwongo
 
Back
Top Bottom