Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

Unaonekana unamatatizo baada ya kupata msongo wa uchumi
Embu kaa uandike upya vizuri unayo pitia wadau watakushauri vizuri
 
Kama vile unaishi Arusha ee
 
Iko hivi kwanza tujue umeshafunga nae ndoa ?? Kama Bado usifunge wait until age 47 pili kuuza uchumi wako tatu focus na kazi Muombe sana mungu mwisho mzalie mtt njee muoneshe akili Iko inn and sometime out ataa kwenye reli imeandikwa tuishi nao Kwa akili Hawa viumbe are snake ndo kiumbe pekee waliofanya contract na shetan ana Kwa ana
 
Kuna wanawake utamkataza kiti hasikii unakirudia tu huwa inakera sana,fukuza huyo.
 
Hakuna mtu aliyepatia kuoa hata mmoja duniani, wote huwa wanakosea. Kwa hiyo usijihisi ulikosea.
Unachotakiwa kufanya ni kuishi naye kwa akili tu wala usishindane naye. Mfano, kuhusu watoto usiwapende sana watoto kuliko unavyompenda mama yao maana unao uwezo wa kupata wengine na mwanamke mwingine.
Kuhusu kukopa, kopa kwa malengo na kwa tahadhari, akishajua umekopa mpaka hukopesheki atakutafutia kosa akumwage mugawane mbao. Usione mtu anajenga nyumba haiishi kwa miaka kadhaa japo wanafursa za kukopa. Wanasababu zao. Usimuache bali ishi naye kwa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…