Nahisi kukataa tamaa majanga mengi, mke ananichosha

Umeongea vyema sana ndoa yako Ina miaka mingap mkuu
 
Kaa chini na mkeo mtafute suluhisho la kudumu.Kuachana sio suluhisho.
 
Tunawaambia kila siku mwanaume kataa ndoa kwa nguvu zote, hamuelewi. Mna kazi ya kuja kutulilia hapa. Narudia tena MWANAUME KATAA NDOA! Tunafanywa chambo wa wanawake na tunakufa na stress tupu kwa ajili yao
 
Pin tayri ,quarter pin
 
Wenzio weny akili hawaoi hawa wanawake wenye mambo mengi sijui mawigi mara kutwa kweny sherehe za marafiki na michango juu...wapenda show off tulia tafuta mwanamke katulia hata ukimpa 60k ya kununua nguo anaona nyingi hawa wa mjini kama hana kazi utajuta mara kucha, make up ,mawingi gharama nyingi kuwa smart mfano wigi la 60k kila wiki anabadili unafikria utamuweza kwa pesa zako za mawazo.

Kama hana kazi awe low katika matumizi na bado ana utoto mwingi sana....Kama ndo wale wa kuacha kichwa wazi utakosa izo gharama za kujipodoa huko kichwani kuweka manywele bandia.
 
Nenda huko ustawi wa jamii anapooona panakutisha ukajue haki zako kabla hujamuacha ,ukishaijua haki yako hawezi kukutishia tena.
 
Huko nasikia huchomoki,kama akienda nataka nikimbilie hata ugana
Nenda huko ustawi wa jamii anapooona panakutisha ukajue haki zako kabla hujamuacha ,ukishaijua haki yako hawezi kukutishia tena
 
U
Uungwana wangu sikutaka mambo ya zinaa ndugu
 
Unachomoka vizuri tu hasa kama watoto wamevuka miaka 7 na pia posho hamuwezi gawana pasu kwa pasu. Unawapa orodha ya madeni yooteee kisha unataja kiwango unachoweza kutoa baada ya kulipa hayo madeni uliyonayo. unaweza taja hata elfu 40
Huko nasikia huchomoki,kama akienda nataka nikimbilie hata ugana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…