Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

Sio nikaulize kwetu hakuna mtu mweupe. Sio Kwa baba, sio Kwa mama wote tinted. Labda kwao ila sijamuuliza nataka asishtuke kama namchunguza huyu dogo.
Alama za viganjani huwa zinafanana na MTU yyte mkuu. Amekupiga na kitu kizito. Ni ngumu sana mtoto usifanane nae hata kitu kimoja! Pole sana mkuu, take a heart ila ukimbana atasema
 
Umeandika kipindi unatungi kichwani.😂

Navuta picha wakati upo naye.

Kausha mkuu mchezo hautaji hasira.
 
Wasiwasi ndo akili endless kumchunguza mpeleke Kwa wazee kuna Jamaa alilea mimba mpaka mtoto kuzaliwa walikuwa mbali siku anaenda kumtembelea mtoto anatambaa Kila akimwangalia akili inakataa akamuuliza mama wa mtoto masikio siyaelewi akajibiwa ya Babu yake mtoto na baba wakawa hawapendani analia akimshika Baba akaanza uchunguzi mpaka akajua mtoto sio wake mtoa mada usiwe na haraka mfatilie pekua vitu vyake utapata pakuanzia
 
Duuuh red card Tena, 🤣🤣🤣 mi bwana nimesoma kwenye makala eti kwenye Kila familia kumi mbili tu ndio Huwa hamna faulo zilizobaki zote mara Mmoja faulo,mara wawili faulo, mara watatu faulo au woteeeee faulooo😄😄
Hahahahahaha...nimekuelewa
 
Wasiwasi wako ndio akili yako. Ukijistukia tu jua kuna walakini. Kapime DNA mtu kazi ukikuta wako ninunulie bia ukikuta sio wako panga mipango ya kupiga chini mke kwani kuoa tena sh. ngapi?
 
Hahahahaha nimecheka kama mazuri hivi ila mi wangu anamiezi 11 na anafanana na watoto wa jamaa alifikia wife wakati anakuja town kwa ajili ya maandalizi ya ndoa but navunga nalo tu nangoja akue kue ukweli utabainika but now naguhumia ndani kwa ndani
 
KITANDA HAKIZAI HARAMU. ALIYEZALIWAA NA MKEO NI MWANAO, MPENDE ,MWANAO ACHA KUMKAGUA KAGUA, MTOTO AKIWA MDOGO SURA HUBADLIKA BADILIKA NA SIO LAZMA AFANANE NA WEWE, ANAWEZA FANANA NA BIBI AKE SHANGAZ WA MKEO AMBAYE NI CHOTARA
Ah wapi hii ni kauli ya kutetea ushetani wa wanawake, mtoto kama siyo damu yako aende kwa baba yake yeye na mama yake. Mwisho wa siku unalea halafu inakuwa kama Diamond Platnumz unaambiwa we mzee Naseeb siyo baba baba ni mzee Nyange. Tushukuru Mungu DNA imegunduliwa. DNA ndiyo mwarobaini, wanawake wanajiuza sana siku hz wanaita kudanga halafu kinga hawapendi.
 
Usimdhuru yeyote, kama unahisi kudanganywa achana naye, kisasi si chako na kitakupa matatizo zaidi. Pima DNA utashangaa kukuta ni wako!
 
KITANDA HAKIZAI HARAM
Ila ya kwako ngumu kidogo
 
Vijana mbona mnapaniki mambi madogo namna hii. Awe wako asiwe wako, as long as unaishi na mama yake na mama yake ni mkeo huyo ni mtoto wako.

Imagine watu wanao single maza ana watoto wawili na wanaishi na wale watoto hadi wanakuwa wakubwa bila kujua kama huyo si baba yao.

Kwa hiyo kinachokuuma ni mkeo wako kuliwa K siyo. Kwani ulimkuta bikra.

Wewe umeletewa mtoto shukuru mungu umepata mtoto. As long as mkeo ana kuheshimu na hakuna baya lolote ambalo amekutendea wewe ishi kwa amani tu. Mambi ya dunia ndivyo yalivyo. Si kila tunaiye muita baba ni biological father wengine wametulewa na wameishi hadi wamekufa wakijio si watoto wao lakini hawahawahi kusema.

Be a man. Achana na mambo ya ujana...eti unaua ili iweje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…