Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kunq viteknikis ukimtega anaweza ingia king na ukapata dondoo,Sio nikaulize kwetu hakuna mtu mweupe. Sio Kwa baba, sio Kwa mama wote tinted. Labda kwao ila sijamuuliza nataka asishtuke kama namchunguza huyu dogo.
Mbona povu au ni wewe?Unaandika kama sifa eeh?Isanga Kuna kitanzi,Isanga hakuna JF ukadhani Kuna siku ukishafanya huo upuuzi utarudi kutusimulia huo ushujaa wako....Tulia think wisely ,kama unafanya DNA hakikisha una Moyo wa kupokea majibu yeyote either pos or neg...
Niue kama mwanaume kweli🙄🙄🙄😅Mbona povu au ni wewe?
Huyo yeye atulie tu amlee mtotoUnaandika kama sifa eeh?Isanga Kuna kitanzi,Isanga hakuna JF ukadhani Kuna siku ukishafanya huo upuuzi utarudi kutusimulia huo ushujaa wako....Tulia think wisely ,kama unafanya DNA hakikisha una Moyo wa kupokea majibu yeyote either pos or neg...
Hahahahahaha...mmmmhNiue kama mwanaume kweli🙄🙄🙄😅
Mkuu humu kuna bandiko linaonesha jinsi ya kumgundua mtoto kama ni wako au sio wako ..litafute kisha lifanyie kaziWataalam wa mambo... twende kazi....
Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.
Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika na anakuwa mweusi, lakini mbona huyu rangi haibadiliki?
Mtoto ana miezi kumi saizi ila hata dalili za kubadilika rangi hamna, toto bado ni jeupee.
Nahisi kuna uwepo wa miso misondo hapa a.k.a kitu kizito sasa subiri.
Niliapa katika maisha yangu siji kuuwa mtu hata siku moja, kwanza ni zambi ila kumbe inawezekana kiurahisi tu aisee na wala sio zambi kumbe.
Ngoja kwanza muda wote najifanya kama sijashtuka vile nakaa na mtoto nacheza nae kumbe mjuba namkagua chalii na bado sijioni kabisaaaaa.
Tumefanana kitu kimoja tuu, ile mistari ya kwenye viganja... Alama zilivyojichora kwenye kiganja changu cha kushoto nayeye cha kushoto ziko vile vile.... Na za mkono wa kulia wangu zilivyojichora na yeye vile vile ila the rest ni utofauti wa kiwango cha lami....
Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.
Nahisi kuna siku nitatangazwa kwenye kile kipindi cha matukio ya wiki pale I.T.V kwa kitendo ambachi nimepanga kukifanya. We ngoja, time will tell.
Umeona eeh?anaanza mikwara eti atamtoa Mtu roho,aandae tu ada mtoto anaanza kindergarten Very soon 😅😅😅Huyo yeye atulie tu amlee mtoto
Hivyo ndio atajibiwa siku akikiamshaHahahahahaha...mmmmh
Hahahahahaha..ila kama ni kweli sio wake..wadada mtakua mmetisha sanaUmeona eeh?anaanza mikwara eti atamtoa Mtu roho,aandae tu ada mtoto anaanza kindergarten Very soon 😅😅😅