Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

Wataalam wa mambo... twende kazi....

Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.

Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika na anakuwa mweusi, lakini mbona huyu rangi haibadiliki?

Mtoto ana miezi kumi saizi ila hata dalili za kubadilika rangi hamna, toto bado ni jeupee.

Nahisi kuna uwepo wa miso misondo hapa a.k.a kitu kizito sasa subiri.

Niliapa katika maisha yangu siji kuuwa mtu hata siku moja, kwanza ni zambi ila kumbe inawezekana kiurahisi tu aisee na wala sio zambi kumbe.

Ngoja kwanza muda wote najifanya kama sijashtuka vile nakaa na mtoto nacheza nae kumbe mjuba namkagua chalii na bado sijioni kabisaaaaa.

Tumefanana kitu kimoja tuu, ile mistari ya kwenye viganja... Alama zilivyojichora kwenye kiganja changu cha kushoto nayeye cha kushoto ziko vile vile.... Na za mkono wa kulia wangu zilivyojichora na yeye vile vile ila the rest ni utofauti wa kiwango cha lami....

Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.

Nahisi kuna siku nitatangazwa kwenye kile kipindi cha matukio ya wiki pale I.T.V kwa kitendo ambachi nimepanga kukifanya. We ngoja, time will tell.
Kuna fact moja ya kisayansi sema ni ndefu tu ningekupa hapa halafu ungebadilisha mawazo yako tu mkuu.
 
KITANDA HAKIZAI HARAMU. ALIYEZALIWAA NA MKEO NI MWANAO, MPENDE ,MWANAO ACHA KUMKAGUA KAGUA, MTOTO AKIWA MDOGO SURA HUBADLIKA BADILIKA NA SIO LAZMA AFANANE NA WEWE, ANAWEZA FANANA NA BIBI AKE SHANGAZ WA MKEO AMBAYE NI CHOTARA
Huo ni uongo.
Mungu kuondoa sintofahamu aliamuru watoto wote bila kujali jinsia lazima wafanane na baba yao.
Mtoto yeyote asiyefanana na wewe huyo si wako.
Baba yangu ana watoto 17 .
Hakuna hata mtoto mmoja ambaye hajafanana naye
 
Wataalam wa mambo... twende kazi....

Kwani huwa inachukua muda gani mtoto kuwa na rangi wa wazazi wake..? Au kufanana na wazazi wake hata mmoja tu.

Baba mweusi, mama mweusi lakini mtoto katoka mweupee. Ndiyo najua kuna ile rangi nyeupe ya kitoto lakini kama wazazi ni weusi baadae inabadilika na anakuwa mweusi, lakini mbona huyu rangi haibadiliki?

Mtoto ana miezi kumi saizi ila hata dalili za kubadilika rangi hamna, toto bado ni jeupee.

Nahisi kuna uwepo wa miso misondo hapa a.k.a kitu kizito sasa subiri.

Niliapa katika maisha yangu siji kuuwa mtu hata siku moja, kwanza ni zambi ila kumbe inawezekana kiurahisi tu aisee na wala sio zambi kumbe.

Ngoja kwanza muda wote najifanya kama sijashtuka vile nakaa na mtoto nacheza nae kumbe mjuba namkagua chalii na bado sijioni kabisaaaaa.

Tumefanana kitu kimoja tuu, ile mistari ya kwenye viganja... Alama zilivyojichora kwenye kiganja changu cha kushoto nayeye cha kushoto ziko vile vile.... Na za mkono wa kulia wangu zilivyojichora na yeye vile vile ila the rest ni utofauti wa kiwango cha lami....

Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.

Nahisi kuna siku nitatangazwa kwenye kile kipindi cha matukio ya wiki pale I.T.V kwa kitendo ambachi nimepanga kukifanya. We ngoja, time will tell.
Tulia hata Mandela aligongewa sembuse mnywa bia,chill up,miezi kumi michache,atabadirika Baadae huko,usihoji Sana vyumba vina Siri nyingi,ungekosa hata huyo utakesha ukikemea sii Bora una solution
 
Aisee ilikuwaje mzee na ulichoropoka vipi
nlihudumia mimba miezi 9 mwez wa tsa umefka demu hajajifungua afu mara y mwsho kuonana nae alikua na mimba yngu miez 4 kumbe aliitoaga bhna sku iyo nkafnga safar mpka kwao hakuwepo kumbe alikua kahamisha makaz kwa jamaa mwngne mimba yngu aliitoa qumamak€ zake ila nlishukuru maana demu n mcharuko afu skuwa nimempnda japo roho iliniuma sana aisee
 
KUMBYAMBYA KAMA KUMBYAMBYA 😂😂😂

kama nakuona unavomkagua mrithi wako huku unapga ulabu

Kuna time nikiwa nimempakata namcheki dogo weeee kama anakujaa alafu anakataaa..... Napiga funda Moja la safari... Namcheki tena weeee anakuja alafu anakataaaa.

IMG_9209.gif
 
Back
Top Bottom