Nahisi kuna kitu kizito we subiri nione mchezo unapoishia

Sio nikaulize kwetu hakuna mtu mweupe. Sio Kwa baba, sio Kwa mama wote tinted. Labda kwao ila sijamuuliza nataka asishtuke kama namchunguza huyu dogo.
Mtoto akizaliwa kama atakuwa mweusi unamtizama kwenye pingili za vidole vya mikono huwa nyeusi na kwenye sikio huwa kweusi yaani kama atakuja kuwa hivyo ndio huonesha.
Ndio maana mtu akijichubua kwenye pingili za mikono kunabakia na rangi ya awali, we mpe mama yako ama dada zako kama wakikutembelea wao ndio watakupa jibu kama una mashaka.
 
Mwisho wa siku wana peleka sample kwa mkemia mkuu. Mashine na mwenye ruksa ya kufanya hiyo analysis ni mkemia mkuu tu.
Na wewe umeamini kabisa kwa akili zako kwamba Agha Khan, Kairuki, TMJ wanamtegemea mkemia mkuu hata wao kujua watoto kama ni wao au lah!??😆😆, Mbona mnakuwa kama wageni kwenye nchi yenu ya Tanzania!??.. Nimesema hospitali binafsi kibao zinapima DNA mengine ni kujiongeza. Hiyo mashine ya kupima DNA hata wewe unaweza kununua ukawa nayo nyumbani. Ni vile watu hamna taarifa sahihi na za kutosha.
 
Acha ujinga. Hata wewe hujui kama ni zao la unayemwita baba. Kingine, mtoto anaweza asikufanane mojakwamoja lakini ukichunguza vzr unakuta mnashare the same DNA (anawezafanana hata na ujombani kwenu kupitia mama yako ama bibi/babu yako) hizo alama unazoziona kwake mnafanana ndio uhalali wa yeye kuwa mwanao. Unless umewahi kumfumania mkeo au kujua ana mchepuko.
 
Hahahahaha nimecheka kama mazuri hivi ila mi wangu anamiezi 11 na anafanana na watoto wa jamaa alifikia wife wakati anakuja town kwa ajili ya maandalizi ya ndoa but navunga nalo tu nangoja akue kue ukweli utabainika but now naguhumia ndani kwa ndani
[emoji16][emoji16] haya mambo haya
 
Hahahahaha nimecheka kama mazuri hivi ila mi wangu anamiezi 11 na anafanana na watoto wa jamaa alifikia wife wakati anakuja town kwa ajili ya maandalizi ya ndoa but navunga nalo tu nangoja akue kue ukweli utabainika but now naguhumia ndani kwa ndani
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kapime DNA kisiri siri kwa wataalam kwa mlango wa uani utakuja kunishukuru baadae. Kuna jamaa yangu ya watoto wake wote kawapima bila mkewe kujua hii nchi ngumu sana.
 
Ulimkuta bikra?

Tumia DNA test hii ya kiasili, akiwa amelala, chukua mshedede wako gongesha kwenye utosi, kama sio wako, atakufa pale pale.
 
Hii konyagi kavu sio bure
 
Huyo mtoto ndio anaweza kuja kuwa msaada wako uzeeni, mara nyingi watoto waliokataliwa huja kuwa na maisha mazuri baadae. Tulia mpende mtoto kuna watu wengine wanakoswa watoto maisha yao yote na bado wanalea watoto sio wa kuzaa.
 
Nyie ndo wale washkaj ambao huwa mnasema au mnajifanya kuwa mwanamke hachungwi eti unajifanya kutofatilia mienendo na harakat za wife wako matokeo yake ndo hayo mzee lazima uletewe bao la mwanaume mwenzako ndani ya nyumba kula chuma hicho!
 
Inabidi kutengeneza scenario kwamba ulichepuka na mke wa mtu sasa unataka kudai mtoto wako. Dawa ya moto ni moto hapo lazima waseme ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…