nahisi kuna watu (mtu) ananifuatilia nifanueje

nahisi kuna watu (mtu) ananifuatilia nifanueje

Kesho utaamka hauna hata mia mbovu mfukoni na utakachokumbuka ni kuna mdada mzuri alikuwa anakuangalia. Baada ya hapo hautakumbuka kitu.
naomba mungu asiwe mtu asojulikana nikapotea naan n mzri mnoo
 
Umevaa suruali tight nini, je makalio yako yanachoreka? Hapo kuna matatu (1) anataka kukufila (2) anataka umfile yeye (3) anataka kukukaba apate hela ya siku kuu
hahahahahahahahhahahahahahahahhaahahahahahahahhahahahaahahahashshahaahaha wanawake wanafii kumbe dunia imeharbika mm nmevaa surual ya kitambaa bwanga flani la kiheadmaster naona ananikodolea lea macho sana apa kaunta
 
wakuu siwelewei nifanyeje niko sehemu mtu ananiangalia sana simuelewi wakuu halafu n mdada mzuri lakni
Patana naye bei kabisa, jumlisha na ya gesti, hela zingine kaweka ktk simu halafu fika mapokezi kabizi simu, burudika kijana stress free
 
Back
Top Bottom