Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

Nahisi kuna Watu wanapendelewa katika Mabadiliko na Uhamisho yafanywayo na 'Boss Kubwa' kutokana na Ushkaji na Uchawa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Tena nahisi kuna Wengine hupigiwa hadi Simu na Kuulizwa kwa Kubembelezwa kama si Kudekezwa huku Wengine kwa Kuwakomoa au Chuki Kwao wanapelekwa ( wanatumwa ) mbali.

Hivi Kijana kama Niki wa Pili unamtoaje Kisarawe na kumpeleka Kibaha? Kwanini kwa Umri wake asipelekwe huko Wilaya ya Mpakani kwa Watani zangu Waha Mkoani Kigoma ili akakomae zaidi?

Hivi Dada Mbichi kabisa kama Fatma Almasi Nyangasa ( Jirani Mbezi Beach Makonde Mitaa ya Mabalozi Sefue na Marehemu Mzee Tambwe ) unamtoaje Kigamboni kisha unampeleka Kisarawe? au Mumewe mwenye Wivu Kupindukia ndiyo kapiga Magoti Mkewe ( Dada Fatma ) asipelekwe mbali kusije kuwa na Sharing of Sweet Biological Cake yake na Wadau Wengine?

Kulikuwa na Ugumu gani kumpeleka Fatma Almasi Nyangasa Wilaya za Mkoa kama wa Shinyanga tena huko ndani ndani kabisa ili nae akakomae?

Inasikitisha kuona Wazee tena wengine wanaweza hata kuwa na Umri walionao Wazazi wa Watajwa Niki wa Pili na Fatma Nyangasa wanatupwa / wanapelekwa Mikoa ya mbali na Wilaya za Ndani kabisa kitu ambacho nakiona ni kama vile siyo Kuwaheshimu.
 
Hata kwenye ualimu mambo ni haya haya, kuna walimu wa kupangwa sehemu nzuri na wengine ndani vijijini kusiko na barabara
 
Heri James na Ludigija walikuwa wanakutana Kila mara kumlilia baba yao, wanalia weeeee,ngoja wakalilie maporini huko
 
Fatma mr wake ni daktari bingwa pale muhimbili..ni msambaa mmoja hivi..btw nikirudi kwenye hoja yako..angalia mkuu wa wilaya mpya wa pangani Zainab Abdallah Issa halafu rudi hapa uniambie umegundua nini..
 
Zainab mke wa mbunge wa pangani na ambae ni waziri wa maji, hivo amerudishwa kwa mume wake jimboni
 
Heri James na Ludigija walikuwa wanakutana Kila mara kumlilia baba yao, wanalia weeeee,ngoja wakalilie maporini huko

Hao wote walikua wanatamka Daisilamu kwahiyo bora wapelekwe bush huko wakatumikie nchi
 
Mtoto mzuri kapelekwa Korogwe njia ya kwenda Arusha. Lile miss lisilo na mvuto aje tiuze Nazi huku mtaani.
 
Back
Top Bottom