Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

21 QNS
 
Story ipo dark enough, Ningeomba upunguze "ujobless" Kwenye kila sentensi maana inaumiza kichwa brother haswa kwa sisi part-timers ambao kuitwa jobless ni sehemu ya maisha yetu 😁..
 
Kipindi nimepata ajari na kuvunjika mguu Mara mbili...
Nilipelekwa hospital nikakaa week then nikaja kuchukuliwa na kupelekwa nyumbani..ambapo nilikaa mwezi na nusu nimeweka mguu juu

Nimeanzia mbali Kuna kitu ndugu intelligent businesses aligusa Maisha yangu.

Ndio kipindi nikawa nashindaga humu Jf most of time mdogo angu huyu alikua ni faraja kwangu na alikuwa anakuja inbox kunisalimia/ kunisabahi Mara kwa Mara..

So nika muona ni mtu mzur na mwema na nikawa namchukulia very special since that time.

Kuna kipindi akapotea nikawa na mmiss mpaka kumuulizia kwa baadhi ya memba Kama half america na mshamba_hachekwi

Wakanambia may yupo busy ama kaamua kupumzika..baada ya muda mrefu mdogo angu akaja nambia alipata ajar mbaya Sana na nikamwambia kwanini hakusema humu ndani maana tumekua familia niliumia Sana kumbe dogo alikua anapitia kipindi kigumu

Pole Sana ndugu.. Mungu ni mwema amekusimamia 💪
 
Story ipo dark enough, Ningeomba upunguze "ujobless" Kwenye kila sentensi maana inaumiza kichwa brother haswa kwa sisi part-timers ambao kuitwa jobless ni sehemu ya maisha yetu 😁..
hahaha, mkuu una wajua ma jobless??, wewe part timer una jiita jobless 😁.

siku tuki onana, Nita kupeleka uwaone ma jobless pro max
 
Shukrani kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…