Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

Nahisi maamuzi haya ni moja ya dhambi zangu, zitakazo nisumbua na kuni tesa kwenye maisha yangu

Mvumilieni mleta mada sio kil mtu anaju kuandika na kusimulia vizuri.

Mimi mwenyewe nimeshindwa baada ya jobless kuwa nyingi tu mwanzo.

Niseme tu sitarudi kwenye huu uzi japo nilitamani kujua changamoto zilizokuja kutokea kwenye familia ya aliefariki.
 
Kipindi nimepata ajari na kuvunjika mguu Mara mbili...
Nilipelekwa hospital nikakaa week then nikaja kuchukuliwa na kupelekwa nyumbani..ambapo nilikaa mwezi na nusu nimeweka mguu juu

Nimeanzia mbali Kuna kitu ndugu intelligent businesses aligusa Maisha yangu.

Ndio kipindi nikawa nashindaga humu Jf most of time mdogo angu huyu alikua ni faraja kwangu na alikuwa anakuja inbox kunisalimia/ kunisabahi Mara kwa Mara..

So nika muona ni mtu mzur na mwema na nikawa namchukulia very special since that time.

Kuna kipindi akapotea nikawa na mmiss mpaka kumuulizia kwa baadhi ya memba Kama half america na mshamba_hachekwi

Wakanambia may yupo busy ama kaamua kupumzika..baada ya muda mrefu mdogo angu akaja nambia alipata ajar mbaya Sana na nikamwambia kwanini hakusema humu ndani maana tumekua familia niliumia Sana kumbe dogo alikua anapitia kipindi kigumu

Pole Sana ndugu.. Mungu ni mwema amekusimamia 💪
Dr..

...... Pole pia kwa masahibu
 
Sikuwai kujua Kama ntakuja nitembee.. almost mwaka mzima
Mungu ni mwema......

Na wote waliokuwa na wewe kipindi hiko

Kuna mzee mmoja alivunjika pia mara mbili....... Alichukua muda lkn mwaka jana nilikuwa mkoani nikakutana nae tumetembea kama km 2.5 kwenda na kurudi........ Japo sehem ikiumia hairud kama mwanzoni Ila pole sana bruh
 
Mungu ni mwema......

Na wote waliokuwa na wewe kipindi hiko

Kuna mzee mmoja alivunjika pia mara mbili....... Alichukua muda lkn mwaka jana nilikuwa mkoani nikakutana nae tumetembea kama km 2.5 kwenda na kurudi........ Japo sehem ikiumia hairud kama mwanzoni Ila pole sana bruh
Mimi pia mguu wangu haujarud na uzito umeshift..nilikua left footer now right footer.
Ni process mzee
 
Back
Top Bottom