zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Mrs Byesige ni Mrs BesyigeSorry, Ushawahi kumuona rafiki yako aliye kufa??.
Natumai uta nielewa tu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mrs Byesige ni Mrs BesyigeSorry, Ushawahi kumuona rafiki yako aliye kufa??.
Natumai uta nielewa tu mkuu.
hahaha, mkuu una wajua ma jobless??, wewe part timer una jiita jobless 😁.
siku tuki onana, Nita kupeleka uwaone ma jobless pro max
Mimi Sio editor mzuri na ukinitegemea, story unaweza imalizia mwaka kesho maana kupitia details bila kuzimiss ni kipaji.Eyce hebu irekebishe ikae vizuri chief, Kisha unipe niiweke.
Kuna ya soda hapa mkuu.
Pole mkuu, ugonjwa au ubovu wa mwili huwa unaingia harakat ila kutoka ni process ya muda mrefu hasa ukishafikia umri flani. Mungu akurejeshee umara wake popote palipodhoofu mkuu 🙏🏽Mimi pia mguu wangu haujarud na uzito umeshift..nilikua left footer now right footer.
Ni process mzee
I am just getting shits out of my chest, so Kama ime andikwa vibaya vumilia tu.
hizi ni kumbukumbu mbali mbali za maisha yangu.
Mwaka jana nili pata ajali nikiwa safarini, Mimi na wenzangu watatu.
ajali hiyo ili sababisha maumivu makubwa kwa baadhi yetu, kuanzia dereva aliye pata shida ya miguu na kifua.
rafiki yangu (Joel) aliye fariki siku chache baadae baada ya ajali hiyo kutokea.
jobless mwenzetu aliye pata ulemavu wa jicho, na tatizo la kichwa.
Mimi nili pata madhara ya hapa na pale, ila yali niweka kitandani kwa muda mrefu nikiwa sijitambui(mahututi).
zaidi ya mwezi 1 na nusu, huku nyuma mambo mengine yali endelea ikiwemo msiba wa huyu rafiki yangu (nili kuja kuambiwa baadae Sana, kuwa ali fariki).
shida Ina anza mimi ndio nilio msisititiza Jamaa twende wote katika safari hiyo, narudia tena mimi ndie nilie msisititiza.
Kusema ukweli hili ni kosa ambalo nali jutia Sana, kwasababu lime kuja kuwa na madhara sio katika sehemu ya maamuzi yangu tu.
bali katika mustakabali wa familia yao nzima.
Sababu zilizo fanya nimsisitize Jamaa twende nae ni nzuri tu, Moja ni kwamba katika kipindi ambacho nili kuwa napitia matatizo ya kifamilia(Mimi dhidi ya ukoo wa marehemu mzee), basi Jamaa ali simamia baadhi ya harakati zangu za vijiwe vya jobless pro max Mimi.
2022 katikati, kuelekea-2023
kwani matatizo (kuumwa ugonjwa usio fahamika, maluwe luwe usiku, Kumbuku baadhi kupotea na mengine ni siri yangu), hayo matatizo yalipo anza kuni zidia nili mwita nyumbani ninapo kaa.
na kumpa maamuzi yangu ya kuwa nina ondoka kwa ajili ya usalama wangu, ili kwenda kutafuta suluhisho na tiba ya hali ninayo pitia.
basi kwakuwa yeye yupo, ata kuwa mshirika wangu wa hiyari katika harakati zangu hizo za u jobless pro max.
Sababu ya pili, Jamaa ali kuwa ni rafiki na mshikaji wangu Sana, yaani kabla ya kujua kuwa mimi ni jobless niliye tukuka katika chama Cha ma jobless.
ali kuwa ana niletea deal za hapa na pale, Kama kuni weka katika list ya wahusika katika ununuzi wa baadhi ya vitu ambayo vili hitajika katika sehemu aliyo kuwa ana pigia kazi.
turudi nyuma kidogo.
Nili Juana na huyu brother, kupitia binti mmoja waliye kuwa waki fanya kazi wote.
binti huyu pia ali kuwa ni rafiki wa kike, wa mdogo wake Jamaa.
so Kuna siku Moja wakiwa ofisini kwao, Jamaa ali pewa deal la kufanikisha ununuzi wa vifaa kadha wa kadha.
shida ni kwamba Jamaa ali kuwa hajui ana vipataje na kwake ali kuwa ana ona Kama mizinguo au miyeyusho fulani hivi wame mletea.
Mdogo wake wa kike, ali msikia aki lalama nyumbani juu ya hilo, aka amua kumwambia bro wake, kuwa yule binti mnaye fanya nae kazi ni rafiki yangu.
Hivyo nahisi atakuwa labda ana jua, sehemu wanazo uza vifaa hivyo.
hivyo kwakuwa namba yake ninayo, ngoja nifanye utaratibu wa kumtafuta ili tujue mapema.
binti yule ambae ni rafiki yangu alipo pigiwa simu, ali kiri kupafahamu sehemu sehemu zinazo weza kusaidia kupata huduma hiyo.
binti yule (Jane) aliye kuwa rafiki yangu alimpa maelekezo mdogo wa Jamaa (rukia), kuwa atokee maeneo ya kwao ili waingie mjini wakatazame.
Baada ya wao kukutana, wali elekea town na wazo la kwanza la yule binti Jane ni kuwa waje katika kijiwe changu kilicho kuwa kiki shughulika na masuala ya huduma hiyo waliyo hitaji.
Bahati nzuri au mbaya walipo fika kwenye kijiwe changu hicho hawa kuni kuta kabisa.
walipo jaribu kuuliza kwa baadhi ya ma jobless wa kwenye kijiwe changu hicho.
wali jibiwa Nina zaidi ya siku 3, sija onekana hapo, na kwakuwa nina utaratibu wa kuwa ambia ma jobless wenzangu hao kuwa usipo niona hapo, jua nipo kwenye kijiwe kingine Cha ma jobless.
basi wale ma jobless pro max, Waka waelekeza kijiwe changu kingine ambacho nina weza kuwepo, maana ndipo ninapo penda kukaa zaidi.
na waki nikosa hapo, waombe kuelekezwa nyumbani ninapo kaa, kwa maana huwa nina tabia ya kukaa ndani hata zaidi ya siku 2 pasipo kutoka nje.
Basi walipo fika kijiwe changu Cha pili napo wali kuta holla, Waka omba kuelekezwa nyumbani.
Jamaa mmoja ika bidi awa ambie kuwa kwa Sasa nipo Safari.
So Kama Wana shida yoyote, waseme ili waweze kusaidiwa.
kwakuwa binti yule (Jane) ali elewa thamani ya deal lile alilo pewa Jamaa, ali amua kuni rukia hewani ili tuzungumze.
ila napo ali kuta holla, Ika bidi awa ulize wale ma jobless pro max kuwa huyu Jamaa ni mzima au mzimu maana kote hayupo.
Jamaa aka wajibu ni mzima,
ila ata kuwa kazima simu hiyo yenye laini hiyo mnayo mpigia, labda mumcheki namba nyingine.
binti Jane alipo nipigia kwenye namba nyingine, ali fanikiwa kuni pata.
japo ali nisema sema kuwa dogo acha tabia ya kuwa mzimu, ila ali nijulisha Kuna deal nzuri ime tokea ofisini kwao.
Hivyo nifanye mpango wa kuja mapema, ili tumalize mchongo.
Nika mwambia ama lizane na hao tu, kwa kuwa nili kuwa Sina mpango wa kurudi huko hadi mwezi ujao.
aka nisisitiza kuwa inge pendeza niwepo, ili tuipangilie vyema.
Kwa maana niki ifanya vizuri, ina weza kufungua milango ya fursa nyingine+ akasema na mdogo wangu kuja uji funze kutongoza domo zege wewe.
nili muelewa vyema na nika mjulisha nitarudi baada ya siku nne tu, kwakuwa kanipa uhakika basi atoe shaka Nita timba.
Baada ya kumalizana na shughuli zangu huko nilipo kuwa, nili amua kurudi katika vijiwe vyangu hivyo vya u jobless pro max.
Naomba niseme ukiwa jobless pro max, una pata uhuru wa muda. hii Ina kupa nafasi ya kuzurura Kama mbwa.
Hivyo kutoka hapa kwenda kule, hilo huwa sio tatizo kwangu mimi raisi wa ma jobless pro max.
so usi shangae kuona nipo huku au kule Kama ndege asiye na makazi.
Baada ya kurudi town, nili mjuza Jane kuwa nipo nyumbani. hivyo wana weza kutokea kijiwe changu Cha ma jobless ili tuzungumze.
aka niambia kwa Sasa yupo kazini, ila aki toka ata mjulisha mdogo wake (binti rukia) ili waje kijiweni hapo.
kutokana na uchovu wa safari nili amua kwenda home kupumzika na kufanya usafi wa hapa na pale.
muda uli endelea kuyoyoma, pasipo kupokea simu kutoka kwa Jane.
Nika amua kuwa mvumilivu, ili mambo mengine yaendelee.
Licha ya uvumilivu ila bado sikuona majibu yoyote.
kwa bahati nzuri au mbaya, sifa Moja ya jobless pro max mjanja ni kubalance mambo.
yaani usi onyeshe kuli taka Sana Jambo au kuonyesha kuwa hauna uhitaji nalo kivile.
(Be careful when you apply this, usi ende ndivyo sivyo).
HIvyo nika amua kuelekea kwenye vijiwe vyangu, ili kuona mambo yanavyo kwenda toka nilipo ondoka.
nili kaa huko Hadi saa 1 jioni, ndipo nilipo pokea Simu na kujuzwa na Jane kuwa ali amua kupitia nyumbani kwao Moja kwa Moja ili amalizane na mambo fulani, hivyo hachelewi Sana wata Nikuta.
hapa ndipo nilipo taka kuachia tusi, yaani kuni sumbua kote kule kumbe wame niona sanamu ehh??.
Ika bidi nimjibu kuwa nime choka Sana, hivyo naelekea home. hivyo Kama ita pendeza tufanye kesho.
aKa sema intelli hatu chelewi lakini, kuwa mvumilivu kidogo au nielekeze unapo kaa ita kuwa fresh pia.
Akili Ika waza ghafla, we jobless pro max hauja pika na wapishi ndo hao Wana kuja.
So nikaona fursa ime kuja yenyewe, nika mpa maelekezo ya kufika home.
na waki fika wani pigie maana nipo home tu.
Nika waaga ma jobless pro max wenzangu wa kijiweni, tuka sisitizana mawili matatu ili kuhakikisha kijiwe chetu kina endelea kudumu.
maana tuki zingua, kuwa waokota makopo ni kugusa tu.
Chap nika elekea sehemu ili kuchukua mahitaji fulani fulani, maana if you live eating, lazima pia upende fishing.
ita endelea, I mean no malice to nobody
Wazee mimi ni jobless pro max, na hapa nipo site nabeba zege, na Kama mjuavyo zege Ina chosha mpaka vidole vina tetemeka.
na hakuna mapumziko mpaka jioni, hivyo tuna enda mdogo mdogo.
Maana kibarua kiki ota nyasi, jobless pro max Nita kula wasiwasi.
View attachment 3211166
Bahati nzuri sija wahi fanya interview mkuu, Nina watu zaidi ya 20 wanao kula ugali kupitia Mimi.Hata sijaelewa.
Ndio maana vijana mnakuwa MAJOBLESS.
Kwa mwandiko huu hata ukifanya interview lazima ufeli.
Ubishoo mwingi kuliko POINTS.
Anyway, tuendelee tu kubamizana mashimo, YOU ARE IRREDEEMABLE.
Cc: Poor Brain Extrovert Mbaga Jr FaizaFoxy
naangalia stock price ya vision marine Inc. hapa, ipo kwenye nasdaq iko chini ya elfu 5 😆🤣Mimi Sio editor mzuri na ukinitegemea, story unaweza imalizia mwaka kesho maana kupitia details bila kuzimiss ni kipaji.
Ila ya soda unaweza nitumia kwa kukupa moyo humu jf 😁
Nita jaribu kaka, japo kila niki muona mama au dada ake naona dhambi niliyo fanya.Na wewe kama una guilty ya kifo chake. Hali inakuwa mbaya zaidi lakini natumai utaelewa kuwa, as much as hatuijui kesho kwa uhakika, kama hukuhusika directly na kifo chake bhasi usingeweza kumuepusha nacho. Hiyo ni work of nature so isamehe na kuipuuza concious yako 🙏🏽
Nita jifunza hilo kaka, Kuna ukweli fulani nauona hapa.Pole sana Ila ukiwa unategemea kwenda safari yoyote usimuage mwanamke hata akiwa mama yako
Wanawake wana negative energy kubwa sana.
Fanya uendelee maana umetuacha njia nne 😆
Mdogo wangu leo hii unamuamini na kumtaja Mungu? 🤔Nimeshindwa kusoma yote ila pole, jikaze na mtegemee Mungu.
anawasaidia wanaomuaminiMdogo wangu leo hii unamuamini na kumtaja Mungu? 🤔
point moja muhimu hii, huja onesha nafasi yako. Ila ume support Jambo muhimu.anawasaidia wanaomuamini
hata shetani hugeuka malaika😂😂Mdogo wangu leo hii unamuamini na kumtaja Mungu? 🤔
Hakuna dhambi hapo zaidi ya concious kukutesa. Ni sawa na kumshauri ndugu yako kusomea course flani chuo na yeye akadisco nayo. Utasema wewe ndio sababu, possibly notNita jaribu kaka, japo kila niki muona mama au dada ake naona dhambi niliyo fanya.
maana una sikia, mwanangu ange kuwepo, aisee sio poa.