Mimi sio kakalabda!! kaka nisi kufiche wakati naandika hii, nili kuwa natoa kumbukumbu zangu kichwani na kuhamishia hapa.
kingine nili kuwa na hasira Kali ya kuji laumu hivi..
Ohh samahani, mwanzoni jina lili kuja. Nika waza Kama ka kihindi hivi!.Mimi sio kaka
Ni dada yako.
π€π€π€
Ondoa shaka.Ohh samahani, mwanzoni jina lili kuja. Nika waza Kama ka kihindi hivi!.
Samahani kwa hilo.
ππ Good morningMafisi wanajua kula vizuri, wanakula kila kitu
Morning rafiki, umeamkajeππ Good morning
Kumbe mnapeana salamu kabisa, umeshakata kimba?Morning rafiki, umeamkaje
Hata ww nakusalimia jamanKumbe mnapeana salamu kabisa, umeshakata kimba?
Oyaa wee ndio nini hivyo?Muwa mtamu jman, napenda muwa mimi jamna
Unanisalimia nini sijakuelewaHata ww nakusalimia jaman
Umeamkaje rafiki?Unanisalimia nini sijakuelewa
Sijalambalamba muwa badoOyaa wee ndio nini hivyo?
Fresh nivipi chalii?Umeamkaje rafiki?
Nipoa rafiki, mishe vip laknFresh nivipi chalii?
Fresh kabisa yaan mkuu vipi za hapo Rombo MashatiNipoa rafiki, mishe vip lakn
Mm mwarabu Rombo sijawahi kanyaga, hahaha unawajua warabu koko? Ndio mimiFresh kabisa yaan mkuu vipi za hapo Rombo Mashati
Kwa hio sasa hivi umehamia wapi Minjingu Jingu ?Mm mwarabu Rombo sijawahi kanyaga, hahaha unawajua warabu koko? Ndio mimi
mbona nipo sana mme wangu ππππNimefurah kukuona hapa sijui ulikuwa wapi ?