Kwa ninavyoona Safari za usiku zitaongezeka, nadhani Ajira za Trafiki zitatoka Muda si mrefu.Mabasi ya usiku yaongezwe.
Hivi Radar gun inashika usiku na wataonaje namba za Gari.? Usiku hakuna hata haja ya kukimbia kwa mfano hata ukitembea 80km kwa saa masaa 10 una 800kms ni mwendo mrefu sana.Kwa ninavyoona Safari za usiku zitaongezeka, nadhani Ajira za Trafiki zitatoka Muda si mrefu.
Maana matrafki wa sasa wote nawaoma mchana tu,usiku ni raha kwasababu wanakua hawaonekani ukipgwa tochi unadakwa vizuri sana.
Na ndio wengi tunasafiri kwa emergency mkuu , nani anapenda shida za kusafiri usiku mara ukute tembo Kalala road mara uone mtu mrefu katikati ya barabara na hakupishi bado hujakutana na wahuni wameweka mimba ya samakiMi usiku labda emergency. Siwezi safiri kama gazeti aisee.
Haiwezekani kuendesha gari kwa masaa 10 kwa speed constant ya 80kph. Labda wewe mgeni wa magari.Hivi Radar gun inashika usiku na wataonaje namba za Gari.? Usiku hakuna hata haja ya kukimbia kwa mfano hata ukitembea 80km kwa saa masaa 10 una 800kms ni mwendo mrefu sana.
Pole sana mkuu! Nyuzi zenye takwimu siku hizi ni adimu sanaMi nikajua unakuja na data, statistics na figures kumbe siasa tu
Makampuni ya mabus usiku yenye mabus mazuri yote hujaa kabla ya saa 6 mchana na ni gari zote 3 kuanzia la saa 1, saa 2 na saa 3.
Hivi kama mtu anaweza ondoka na Bus usiku akafika asubuhi mkoa husika Anapanda Ndege ili awahi wapi?
Ninachojua wasafiri wa anga hutumia ndege sababu ikiwa ni 1 tu, Kuwahi eneo la Tukio.
Sasa Hivi nini kinakuchelewesha tena kama mpka bus za usiku saa 5 zipo?
Hongera kwa serikali kwani sasa nadhani itaona namna pesa walizokua wanazipoteza kwenye kodi watavyozipata kupitia nauli zetu.
Kuna watu wana hela Hii Nchi Bus no E zinateremshwa kama vile pikipiki za boxer yani kama vile Bus linauzwa 1.5m..daaah
Hana takwimu huenda alikosa ticket majuzi wanavyuo walikuwa wanarudi vyuoni na usafiri ulikuwa shida, bado sijaona hoja yake na uhusiano kati ya safari za usiku na ndege ...Mi nikajua unakuja na data, statistics na figures kumbe siasa tu
Ndio maana kichwa cha thread kinaaanza na neno "Nnahisi ...Pole sana mkuu! Nyuzi zenye takwimu siku hizi ni adimu sana
Ulikiona mwanzoni hicho kichwa cha habari?Ndio maana kichwa cha thread kinaaanza na neno "Nnahisi ...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kusafiri usiku kumekaa weird. Yaani huoni what is going on nje. Mimi hapana.
Niko airport mikoa ya mbali miaka 10 sasa, sijawahi kuona mwenye busha anashuka ndani ya ndege, lkn simama pale Mbagala mwisho haiwezipita hata nususaa.Wengine wana mabusha hawawezi kaa muda mrefu bil nya kutoka hivyo yuko teyari akope ili apande ndege.
Ni ushuzi kweli!!masaa 16 umeganda kwenye siti ya basi!?Kusafiri na bus umasikini tu. Mfano mtu unatoka Dar to Musoma masaa 16+ upo kwenye bus.
hata we mwenyewe una akili za kimaskini ukiwa ndani ya nchi maskini. Kwa wenzetu nauli ya ndege ni ndogo kuliko ya treni. Ushamba wako na umaskini ndio inakufanya uone ukisafiri kwa ndege we ni tajiri.Kusafiri na bus umasikini tu. Mfano mtu unatoka Dar to Musoma masaa 16+ upo kwenye bus.
Uwanja wa ndege Musoma zinatua ndege?Vipi huko Ulaya,na Asia,hakuna usafiri wa Mabasi?Kusafiri na bus umasikini tu. Mfano mtu unatoka Dar to Musoma masaa 16+ upo kwenye bus.
Sijui anaongea nini huyu! Yaani ukae kwenye bus saa 18 halafu ulinganishe na mtu anakaa saa 1 na nusu? Sema umasikini tu!Wa ndege ni wa ndege tu hata mabasi yasafiri usiku wa manane.
Wenye nazo hata kule kukaa saa 8 kwenye basi ni adhabu haijalishi mchana au usiku.
BTW: Binafsi sina hiyo hela ya ndege ila kusafiri usiku kwa basi hata bure siwezi.