Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

Nahisi mama mkwe wangu ni vampire

Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.

Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.

Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.

Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.

Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto was watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.

Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.

Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.

Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.

Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Tunachokijua: Huyo ni vampire iko siku utakuta kawatafuna watoto wote hapo nyumbani
 
Hizo ni stress za maisha tu,
Mpe hela au atafute hela,huenda hela ndio tatizo,

Huwezi kua na hela kisha ukawa na tabia za kimasikini.

😎
Hela tunampa sana tu mzee, kanyumba kazuri ka kisasa tumemjengea, na bajaji ya kumwingiza "ya ugoro" tumemnunulia inapiga kazi, sasa anataka nini kingine?
 
Hawa wazee wetu wana mengi moyoni, hatujui kwanini hawayaweki wazi wakapata msaada.

Hilo la damu ni tatizo. Kuna demu tulisoma naye high school, alikuwa na kesi za kung'ata watu.

Malalamiko yakawa mengi hadi walimu wakamwita, akajitetea kwamba anajikuta tu kauma mtu na tayari damu zinatoka. Hata akikungata kidogo tu, lazima utoke damu.

Halafu demu mwenyewe mkali kwelikweli
Akikupa blowjob umekwisha😆😆
 
Tunachokijua: Huyo ni vampire iko siku utakuta kawatafuna watoto wote hapo nyumbani
Au ana roho ya Mbwa dume
1671508696054.png
 
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.

Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.

Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.

Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.

Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto was watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.

Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.

Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.

Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.

Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
Sasa aliwezaje kukulelea binti yake hadi ukamuowa wewe? Kwa nini akumla nyama?

Halafu jombaa umetawaliwa sana, yani likizo zote wewe unakwenda ukweni tu wewe ni Mcongoman huna kwenu?
 
Ondoka kabisa hata leo au unaendelea kusubiri majibu ya JF ndio uondoke,majibu ya humu utajibia ukishakuwa umefika kwako..
 
Sasa aliwezaje kukulelea binti yake hadi ukamuowa wewe? Kwa nini akumla nyama?

Halafu jombaa umetawaliwa sana, yani likizo zote wewe unakwenda ukweli tu wewe ni Mcongoman huna kwenu?
Haha haha kutawaliwa kuna raha yake mkuu. Likizo nyingine huwa naenda mbugani, na wakati mwingine Bill Lugano huwa anatukudia ndege tunazunguka pande mbalimbali za dunia.

Mwaka mpya tutakuwa Zuma Beach, Malibu
 
Hasira na ukali ni moja ya dalili ya kwamba mtu anamilikiwa na shetani.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuwa na hasira na ukali. Kaa hadi december iishe urudishe vampire mjini
 
Nimekuja ukweni kuwaleta watoto baada ya kufunga shule Ijumaa ya juzi, waje kwa Bibi yao, Babu yao alishatangulia mbele ya haki.

Hapa mama mkwe anaishi na watoto wake wawili wa kike ambao nao Wana watoto, hivyo basi mama mkwe anaishi na wajukuu zake pia.

Kuna kitu kiko very weird nimekiona. Mama mkwe ni mkali sana, ana hasira sana, akianza kupiga, hasira hazimuishi mpaka amuume na amtoe damu huyo anayempiga ndipo hutulia.

Jana nilipofika, mtoto wa nyumba jirani alikuja kuchota maji hapa, akaondoka akaacha maji yanatiririka bombani, mama mkwe akafoka sana kwa hasira na ukali wa juu.

Akaenda kwenye nyumba jirani akakavuta hako katoto, kakapiga sana kisha akakauma Sana mpaka damu zikamtoka, hakika kamjeruhi mtoto was watu. Wenye mtoto wamepeka malalamiko serikali ya mtaa kesho kaitwa ofisini akajieleze.

Juzi jumapili mjukuu wake wa form 2 ambaye ni mtoto wa shemeji yangu kasahau biblia Kanisani kwa bahati mbaya, kapigwa Sana, Kisha akamuuma begani, kamuachia kidonda kikubwa Sana.

Nasikia ni kawaida yake kuonja damu kidogo, huwa anajikata kidogo apate damu. Hata akipika nyama anatenga ya kwake anataka iwe haijaiva, iwe nyekundu ndani.

Nilikuwa nimepanga tukae Hadi X mas, lakini kwa haya ninayoyaona, asije pandikiza hayo maroho kwa wanangu, kesho naanza maandalizi ya kurudi.

Je, hivi hili nyie wenzangu mnalionaje?
mnunulie RedWine tu!
 
Back
Top Bottom